Imekuwa ni kawaida kwa TANESCO kutoa tamko pale ambapo kunakuwa na kukatika kwa UMEME.Ni muda sasa kumekuwepo na kukatika kwa umeme maeneo mengi ya nchi, nimejaribu kufuatilia ni nini tatizo sijapata.Wadau mwenye habari ya kwa nini umeme unakatika kila siku hasa mida ya jioni mpaka usiku wa manane anijuze maana mambo yangu mengi yameathirika sana na hili tatizo