Hawa Nvidia Sasa Wamezidi Na Graphics Card zao Mpya

Hawa Nvidia Sasa Wamezidi Na Graphics Card zao Mpya

the great wizard

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2015
Posts
1,482
Reaction score
894
Kampuni ya teknolojia ya nchini marekani Nvidia Inayojihusihsa sanasana na utengenezaji Graphics card za computer hivi karibuni ime reveal graphics card zao mpaya ambazo ni
GEFORCE RTX 2080 Ti
SPECS
architecture : Turing
boost clock :1635 MHz (OC)
size 11gb gddr6
speed 14gb per second
BEI= 2,737,230.63TZS

NVIDIA RTX 2070
SPECS
architecture : Turing
boost clock :1600MHz (OC)
size 8gb gddr6
speed 14 gb per second
BEI= 1,367,548.28TZS
Hapo kwa wale wapenda games wenzangu itakuwa ni noma ya tena hizo gpu zina technolojia mpya ya gddr6, Vram ya kutosha yani mambo ni moto
Cc
Chief-Mkwawa
Troublemaker
Blackstarline
The Patriot Man
Kcamp
Aleyn
 
Hawa jamaa wanaongoza kwa graphic accelerator nzuri. I give them five stars *****
bila shaka watakuwa hawajabadirisha Interface yake. maana juzi kati kuna Dell pro desktop ya mwaka 2018 imeletwa ofisini ina Expansion slots sijui ni za namna gani
 
ila hao jamaa wamepiga hatua sana ukitofautisha na ATi Radeon
alaf wamekuja na GDDR6
yeah for real five star*****
 
Hawa jamaa wanaongoza kwa graphic accelerator nzuri. I give them five stars *****
bila shaka watakuwa hawajabadirisha Interface yake. maana juzi kati kuna Dell pro desktop ya mwaka 2018 imeletwa ofisini ina Expansion slots sijui ni za namna gani
hukubahatika kuipiga picha hata tuione hiyo slot boss?
 
Daah hawa jamaa hatari...

Naona hata nvidia stock imepanda baada ya CEO ku reveal huo mzgo..hakika mambo ni moto

Tusubr offa za krismas tu.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Daah hawa jamaa hatari...

Naona hata nvidia stock imepanda baada ya CEO ku reveal huo mzgo..hakika mambo ni moto

Tusubr offa za krismas tu.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
alaf mwisho wa kununua hizi card ni mbili per customer bado hazipo za kutosha, ngoja tutafut gtx 10 series kama gtx 1080ti
 
Dah hapa bei za 1080 zitashuka na za 750Ti zitashuka ili niweze kununua 640.😂
 
Na sasa wamekuja na Series ya 16 eg Nvidia GTX 1660 6GB GDDR6, architecture ni turing, clock 1770
price around 300USD kama laki 7 hadi 8 ivi za Kitanzania
but rtx 2060 ni bado nzuri over gtx 1160 kwa almost 15%
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom