tinsooo Member Joined Jun 12, 2014 Posts 6 Reaction score 0 Jun 13, 2014 #1 Ila kiukweli inakatisha tamaa mmh heee, hadi nilio soma nao primary nawaona eee hii ni kumbukumbu ya dunia UHAMIAJIJuuu
Ila kiukweli inakatisha tamaa mmh heee, hadi nilio soma nao primary nawaona eee hii ni kumbukumbu ya dunia UHAMIAJIJuuu
tycoonff JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 928 Reaction score 1,311 Jun 13, 2014 #2 Unashangaa nn? Ina maana kijijini kwenu primary nzima ni wewe tu ndo ulifaulu ukaendelea kusoma wengine wote wakawa wawindaji?
Unashangaa nn? Ina maana kijijini kwenu primary nzima ni wewe tu ndo ulifaulu ukaendelea kusoma wengine wote wakawa wawindaji?
K kitufe Member Joined May 13, 2014 Posts 12 Reaction score 1 Jun 13, 2014 #3 Usikate tamaa hata kama nafasi ni mbili
Gwesefe JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 682 Reaction score 382 Jun 13, 2014 #4 kuna jamaa nilisoma nae darasa la kwanza kabla sijahama shule, nilimuona kwa mbaali ghafla akanipotea
kuna jamaa nilisoma nae darasa la kwanza kabla sijahama shule, nilimuona kwa mbaali ghafla akanipotea
Babuu Murasa JF-Expert Member Joined Jan 1, 2013 Posts 229 Reaction score 120 Jun 13, 2014 #5 tycoonff said: Unashangaa nn? Ina maana kijijini kwenu primary nzima ni wewe tu ndo ulifaulu ukaendelea kusoma wengine wote wakawa wawindaji? Click to expand... ahahahahahahahahahahahah mkuu umenfurahisha sna
tycoonff said: Unashangaa nn? Ina maana kijijini kwenu primary nzima ni wewe tu ndo ulifaulu ukaendelea kusoma wengine wote wakawa wawindaji? Click to expand... ahahahahahahahahahahahah mkuu umenfurahisha sna
L Loaner Member Joined May 17, 2014 Posts 12 Reaction score 0 Jun 14, 2014 #6 ha ha ha ha ha............tinsooo
MBEBA MAONO KAJA JF-Expert Member Joined Dec 24, 2013 Posts 365 Reaction score 195 Jun 14, 2014 #7 Kuna rafiki yangu aliomba uhamiaji tayari yuko kambi ukonga. Jamani mnijuze ina maana wengine wameshaitwa.
Kuna rafiki yangu aliomba uhamiaji tayari yuko kambi ukonga. Jamani mnijuze ina maana wengine wameshaitwa.
BM-40 OPERATOR Senior Member Joined Oct 13, 2012 Posts 153 Reaction score 56 Jun 14, 2014 #8 MBEBA MAONO KAJA said: Kuna rafiki yangu aliomba uhamiaji tayari yuko kambi ukonga. Jamani mnijuze ina maana wengine wameshaitwa. Click to expand... Waliopata kazi zimamoto ndio wapo kambi ukonga!!
MBEBA MAONO KAJA said: Kuna rafiki yangu aliomba uhamiaji tayari yuko kambi ukonga. Jamani mnijuze ina maana wengine wameshaitwa. Click to expand... Waliopata kazi zimamoto ndio wapo kambi ukonga!!
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Jun 14, 2014 #9 MBEBA MAONO KAJA said: Kuna rafiki yangu aliomba uhamiaji tayari yuko kambi ukonga. Jamani mnijuze ina maana wengine wameshaitwa. Click to expand... atakuwa aliomba fire ndiyo wanaenda Ukonga
MBEBA MAONO KAJA said: Kuna rafiki yangu aliomba uhamiaji tayari yuko kambi ukonga. Jamani mnijuze ina maana wengine wameshaitwa. Click to expand... atakuwa aliomba fire ndiyo wanaenda Ukonga
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,771 Jun 14, 2014 #10 tycoonff said: Unashangaa nn? Ina maana kijijini kwenu primary nzima ni wewe tu ndo ulifaulu ukaendelea kusoma wengine wote wakawa wawindaji? Click to expand... hiiii hiiiiiiiiiii
tycoonff said: Unashangaa nn? Ina maana kijijini kwenu primary nzima ni wewe tu ndo ulifaulu ukaendelea kusoma wengine wote wakawa wawindaji? Click to expand... hiiii hiiiiiiiiiii
C calyx Member Joined May 3, 2014 Posts 38 Reaction score 8 Jun 14, 2014 #11 Uhamiaji hoeee..! Ama kweli wakiniita nitavunja recod,