Hawa ni watu balaa ngoja nijitokee

Hawa ni watu balaa ngoja nijitokee

tinsooo

Member
Joined
Jun 12, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Ila kiukweli inakatisha tamaa mmh heee, hadi nilio soma nao primary nawaona eee hii ni kumbukumbu ya dunia UHAMIAJIJuuu
 
Unashangaa nn? Ina maana kijijini kwenu primary nzima ni wewe tu ndo ulifaulu ukaendelea kusoma wengine wote wakawa wawindaji?
 
kuna jamaa nilisoma nae darasa la kwanza kabla sijahama shule, nilimuona kwa mbaali ghafla akanipotea
 
Kuna rafiki yangu aliomba uhamiaji tayari yuko kambi ukonga.
Jamani mnijuze ina maana wengine wameshaitwa.
 
Back
Top Bottom