Hawa ni wasanii waliohit na ngoma moja na kupotea

Joan=dar es salaam by night.
Baada ya apo alishirikishwa na dataz kweny Mume wa Mtu,akatokomea mazima.
 
Ras lion= Umaskini huu ft john wolker
Bashary=Mama
Jumanne iddi wa BSS= Mama ndolelaga
Beka=we ndo nyota yangu km tid,ukilia ntakubembeleza km amini...ilikuwa ni rmx ya wimbo wke flani ivi jina limenikimbia
Kura Yangu...huyu jamaa nimemsahau jina but hii ngoma ilikuwa ft Sugu n j.nature
 

Aisee Adili a.k.a hisabati jamaa nakumbuka show yake 1 hiv pale diamond hall ilikua uznduz wa albam ya feruz "starehe" jamaa anajua kumilik jukwaa aisee huyu bwana hatariee.
 
Rafael:Ni jinsi gani tutawini maishani ahh ni namna gani.Ni namna gani tutawini maishani mpaka siku tunasema buriani.
 
Kuna wimbo mmoja mashair yake yanaimba hivi....."mama usiniuwe unidhuru roho yanguu, usiende kwa dokta kunitoa uhai wangu, bado kitambo kidogo tumboni utanitoaa, ukijutia taabu na raha uzijutieeeh, starehe zenu zimenifanya nikae humuu,,,, ,,marashi ya upendo ya ulilia nafsi yanguu, usiende kwa dokta kunitoa uhai wanguu" dah sijui anaitwa nan huyu jamaa mwenye nayo akinipatia niko tayar kumpa ela
 
Sema we sema wewe x2 usiposema leo jiulize ni lini utasema...by shekh & Adhili

Hahahahaaa,Mkuu umenikumbusha mbali sna hawa vijamaa,hii ngoma yao ulisumbua sana kitambo icho...cjui walikuwa wanatafuta hela ya ada hawa madogo.
 

angel wewe ft child Benz na Amber rose
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…