Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,814
- 34,195
Kuna aina mbalimbali za viumbe vya aina tofauti katika sayari hii, viumbe ambavyo ni halisia, vilikuwepo toka enzi za zamani. Ila watu kutoka sehemu mbalimbali wameanza kuchanganya species za wanyama tofauti wasioendana na kutengeneza kiumbe chenye sifa zote mbili.
Kuna baadhi ya crossbreeds zinaeleweka vizuri. Hawa ni baadhi ya wanyama wa aina mbili tofauti waliochanganywa na kutoka viumbe vya namna hii. chanzo.Hawa ni wanyama hybrid uwezi amini kwamba wapo | Kwetustar