Hawa ni wanaJF na kazi zao

Hawa ni wanaJF na kazi zao

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,749
Reaction score
28,144
Hapa nina orodha ya baadhi ya wanaJF na kazi ambazo zinawafiti...

Asprin - mstaafu TRA

Chief - mkwawa (IT)

FaizaFoxy - mstaafu hapo Lumumba.

Kiduku Lilo -
Lucas Mobutu
troublemaker
GENTAMYCINE
GuDume
Chizi Maarifa
(Hawa ni matapeli wa warembo wanakula sana bia)

cocastic - beki 3
Jael - mama wa nyumbani
Khantwe - manager hotelini
Daudi Mchambuzi - polisi.
Don Clericuzio - mchambuzi wa soka.
yuzazifu - yupo kwao anakaa.
Zero IQ - mjasiriamali.
juma mpemba - jambazii.

Extrovert - sound engineering mlevi.
Mshana Jr - huyu anajulikana..
amu - ana duka la nguo

Mama Debora - haaminiki tapeli tapeli ..
Saint Anne - nesi ( japo ni mbishi sana)
Behaviourist - anakaa kwa mjomba wake ,mpenda chura.
GODZILLA - mwanasheria ,ana mikwara mingi.
Kiranga - doctor ,mbishi
miss chagga - ukiwa na hela tu akicheka huna
Saint Ivuga - muongo muongo
Hannah kazi yake ni kunipenda ,wife material

Msinifokeee
 
ushapikia watoto au uko kwa jirani unapiga umbea
Nasubiri watoto watoke shule ili wale ndio mikaoshe vyombo. Kwasasa niko hapa kwa jirani napunguza stress, tunamjadili marehemu aloacha watoto 8 na mimba 4 na bado wawili walifariki na kila mtoto na mama yake. Halafu ana miaka 26 tu.

Umama wa nyumbani raha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom