Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,763 Reaction score 50,849 Feb 26, 2022 #1 Kama wanavyoonekana, kwa mbali utadhani ni mdudu mmoja ila kwa karibu utaona ni mnyororo wa ukoo Wana mchango gani katika kustawisha ekolojia na wana madhara gani katika ustawi wetu
Kama wanavyoonekana, kwa mbali utadhani ni mdudu mmoja ila kwa karibu utaona ni mnyororo wa ukoo Wana mchango gani katika kustawisha ekolojia na wana madhara gani katika ustawi wetu
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,754 Reaction score 24,120 Feb 26, 2022 #2 Itakuwa wakimuona nyoka anatambaa wanatamani wakaamua kuiga
Binadamu Mtakatifu JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 4,397 Reaction score 9,175 Feb 26, 2022 #3 Mbona kama sperms
ragin JF-Expert Member Joined Feb 9, 2015 Posts 7,391 Reaction score 9,385 Feb 26, 2022 #4 sisi wa mjini hatujui tupite tu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,787 Reaction score 1,251,525 Feb 26, 2022 #5 duh nilidhan jongoo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,945 Reaction score 193,990 Feb 26, 2022 #6 Ngoja waje kukupa muongozo...
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,264 Feb 26, 2022 #7 Hapo ni Burigi?
Mromboo JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,072 Reaction score 6,909 Feb 26, 2022 #8 Faana said: Kama wanavyoonekana, kwa mbali utadhani ni mdudu mmoja ila kwa karibu utaona ni mnyororo wa ukoo Wana mchango gani katika kustawisha ekolojia na wana madhara gani katika ustawi wetu View attachment 2131606 View attachment 2131608 Click to expand... Join The Chain
Faana said: Kama wanavyoonekana, kwa mbali utadhani ni mdudu mmoja ila kwa karibu utaona ni mnyororo wa ukoo Wana mchango gani katika kustawisha ekolojia na wana madhara gani katika ustawi wetu View attachment 2131606 View attachment 2131608 Click to expand... Join The Chain
Trubarg JF-Expert Member Joined Jan 8, 2020 Posts 4,398 Reaction score 7,252 Feb 26, 2022 #9 Wanasaidia kuvunjavunja all organics na kuzidia kusibadili kuwa mchanga
E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 25,977 Reaction score 25,303 Feb 26, 2022 #10 Faana said: Kama wanavyoonekana, kwa mbali utadhani ni mdudu mmoja ila kwa karibu utaona ni mnyororo wa ukoo Wana mchango gani katika kustawisha ekolojia na wana madhara gani katika ustawi wetu View attachment 2131606 View attachment 2131608 Click to expand... Miombo woodland Arthropods Trekking....
Faana said: Kama wanavyoonekana, kwa mbali utadhani ni mdudu mmoja ila kwa karibu utaona ni mnyororo wa ukoo Wana mchango gani katika kustawisha ekolojia na wana madhara gani katika ustawi wetu View attachment 2131606 View attachment 2131608 Click to expand... Miombo woodland Arthropods Trekking....
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,763 Reaction score 50,849 Feb 26, 2022 Thread starter #11 Earthmover said: Miombo woodland Arthropods Trekking.... Click to expand... Mkuu umeandika kiutaalamu sijaona ndani
Earthmover said: Miombo woodland Arthropods Trekking.... Click to expand... Mkuu umeandika kiutaalamu sijaona ndani