DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,931
- 2,141
Habari za kazi wapendwa.
Huko Malawi kunaugonjwa wa Nguruwe, ambapo serikali yao makini, imekataza/imezuia kuchinja wala kuuza nguruwe, sehemu yoyote ile, hata walio hudhuria minada ya hivi karibuni kule wanalitambua hilo.
Tatizo ni kwetu hapa Tanzania, hivi sasa, Nguruwe hao, wanavushwa kwa nja za panya, na kuuzwa kwetu huku Tanzania (wilaya ya Kyela).
Wanapitisha Nguruwe hao, kupitia vijiji kama Kabanga, Ndwanga, katumbati, nk.
Jamani mamlaka husika, tunaomba mlifuatilie suala hili, binafsi nmejipa rikizo ya kula mdudu kwa muda.
Leo hii kuna pawatila inasombelea Nguruwe kupitia Kabanga.
Nawasilisha.