Hawa NEC wanatutafuta ubaya sasa!

kweli tumekuwa wapole ila htutakubali kuonewa!
 
Huyu mzee wa NEC huyu mwache alete utanintu aulize mwenzie kivuitu yuko wapi
 
mnamuoneea jaji lubuva bure. sasa angefanyeje? labda wale ambao hawajaandikishwa wafanyiwe operation ya kuwaandika kwenye daftari la kawaida kama chaguzi zilizopita kama dharura in case.

poleni sana. tume hii kila ilikoandikisha wapiga kura imeachamatatizo sio kagera wala ruvuma.
 
tuta wastahi ila wakizid mipaka cdhan kama kuna mtu atakuwa uvumilivu tena zaid ya kumkodisha Kamanda Lema tuingie barabaran
 
Kazi kubwa tunayo sasa huku Korogwe kwani hata watendaji hawajui wajibu wao baadhi yao huwatumia wenyeviti wa serikali za vijiji hadi pale ambapo tunaanza kuzozana na kuwapa elimu!
 
na kama wanataka kufunga goli la mkono, pia hata mabeki wetu wanaweza kuokoa kwa mkono wajue hvy
 
mnamuoneea jaji lubuva bure. sasa angefanyeje? labda wale ambao hawajaandikishwa wafanyiwe operation ya kuwaandika kwenye daftari la kawaida kama chaguzi zilizopita kama dharura in case.

unaposema daftar la kawaida ujue pamoja na waliojiandikisha kwny bvr wanaweza wakarudiwa ikawa mtu mmoja ajiandikishe hata mara nne na ndo hapo watanzania watakapo shindwa kukubaliana na matokeo ya uchaguz mkuu ije kuwa balaa!
 
Tukubaliane tu na hali halisi.
Zoezi ni lazima litapita tu kwenye huo mtaa.
Lkn waliopanga hayo ni viongoz na sio wamekurupuka tu huenda wameona wingi wa watu kwa maeneo walioanza nayo.
 
unaposema daftar la kawaida ujue pamoja na waliojiandikisha kwny bvr wanaweza wakarudiwa ikawa mtu mmoja ajiandikishe hata mara nne na ndo hapo watanzania watakapo shindwa kukubaliana na matokeo ya uchaguz mkuu ije kuwa balaa!
basi acheni kulalama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…