Hawa ndo mastaa wa Dunia

sijamuona messi humu. huwez kutaja mastaa wa dunia bila kuanza na messi. messi ndo mchezaji soccer namba moja kupata kutokea duniani. ushahidi ni kwamba kachukua tuzo za mchezaji bora wa dunia mara 5. huku akichukua mara 3 mfululizo.
 
Vipi kuhusu makombe kwenye nchi yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…