Hawa Ndio Wawekezaji Wetu!

Keykey

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,250
740
Ndugu zangu hii nchi imeshaposwa inangojea mwenyewe aje kuchukua chake?

Haiingii akilini kukuta ghaidi kama huyu anapokelewa kama mwekezaji?


 
Na Tanzania kwakuwa ana ngozi nyeupe wala hawawezi kutrack previuos records zake kwa kuwa kaja kuwekeza nchini kwetu, nafikiri yule mzungu mmoja aliyesema alikuja na $ 1000 akatengeneza nyingi alikuwa right maana hatujali kama historical background ya wawekezaji wetu ina matter.
 
Hii iingizwe ktk maajabu ya dunia,na hii ni nambari one.
swali?
1.kwanini amewekeza zanzibar na siyo bara?
2.tukisema zanzibar wanahifadhi au kupromote magaidi kama kule comoro,tunakosea?
3.why zenj inakuwa na uzalendo sana na nchi za kiarabu kuliko watz wenzao(wabara)?
4.hatuoni incidents kama hizi ni cheche tosha za wandugu hawa kutaka/kushawishi kujitoa ktk MUUNGANO ili waendeleze agenda zao?
Natia hoja!!!
 
habari mheshimiwa....
1.kwanini amewekeza zanzibar na siyo bara?, nijuavyo mimi kiwanda cha textile cha Wapakistani kipo Dar es salaam kwa hiyo amewekeza Tanzania bara pia kama itakuwa ni sahihi kuwa kinamuhusu.
Hapa najaribu kuonesha kwamba kama kuna uzembe umefanyika kumkaraibisha huyo mshutumiwa huenda ukawa hauna uhusiano na hilo ulilo comment.
2.tukisema zanzibar wanahifadhi au kupromote magaidi kama kule comoro,tunakosea?yes ,itakuwa munakosea ikiwa hakuna ushahidi wa hilo.Ukitoa mfano wa yule kijana detained in Guantanamo, utapewa mfano wa John Walker wa UK aliyekamatwa Afghanistan lakini Uk haishutumiwi hivyo.
3.why zenj inakuwa na uzalendo sana na nchi za kiarabu kuliko watz wenzao(wabara)?,hili si kosa ikiwa hawavunji taratibu husika,waarabu walitawala kule,waliacha vizazi hivyo baadhi ni ndugu wa damu,wanasaidiana n.k generally kuwa na uhusiano na nchi za kiarabu ambazo zatambulika na UN ni katika taratibu za kawaida,au tunaposema wawekezaji waje Tz huwa tuna exclude Arabs????
4.hatuoni incidents kama hizi ni cheche tosha za wandugu hawa kutaka/kushawishi kujitoa ktk MUUNGANO ili waendeleze agenda zao?,hii ni comment yako tena kali saana kwa dalili dhaifu.
sorry 4 any mistake,
Ila ni kujaribu kuondoa tashuwishi za biasness ambazo huenda zikatufikisha pasipofaa.
thanx mkuu.
 

aaah ndugu yangu we ukiuliza watakwambia wao wako OIC thats all...ila swala la ugaidi watakujibu ile ni jihad
 
Kwangu mimi suala si la kusema kuhusu WHY zenji, hapa ishu ni ile hali ya sisi kuamini kila ngozi ya Asia na uropa kuwa ni safi na haina matatizo, ndiyo maana yule Nolan aliweza kuingia ofisi kubwa kabisa akiwa 'rafu' lakini kwa kuwa alikuwa mzungu basi kila kitu kilikuwa sawa

Mabadiliko hayaji yenyewe, yakija yenyewe hutoyaweza kuyakabili
 
"Foreign companies need their profits, they would not invest without them"...But in the end, the bullets must decide, not ballot...angekuwa kaandikwa kwenye The Guardian ya Uk kwamba mwekezaji ni gaidi, tungekuali lakini kwa kuwa utafiti umefanywa na Kakalende wacha upite kama hadithi za kale!!
 
Naona kama Rais wetu kakumbwa na maswaiba mengi sijui aanzie wapi jamani, hili nalo atawezaje kukabiliana nalo na huyu mwekezaji kawekeza Zenji?
 

Ni vyema uwe makini kusoma taarifa ya awali,kuwa amewekeza Kwenu(wewe na waarabu wako wa damu) zanzibar.


Acha hoja za kitoto,kutoshutumiwa kwa UK,kuzuie sisi kuhoji?


3.
Hii kali ya karne,una maana hata British na Ujerumani ni ndugu zetu tena wa damu?walitutawala hawa,unakumbuka?Wabara tumewatendea zambi basi,bcoz hakuna anayewaenzi wakoloni,kwa extent yenu mliyonayo wazenj kwa waarabu.


Nina haki ya kusema hivyo,ushahidi upo.
Hoja zako ndiyo DHAIFU.
nashukuruu kwa kunipa jina la mkuu.
 
mimi nasubiri hayo maisha baada ya hii sayari kuvunjikavunjia kwani mungu anaweza kuwa fair akagawa watu wenye uchungu na nchin zao tangu mwanzo..ni tungo tata ila hata mimi mwenyewe sielewi jinsi gani ya kuielezea
 

Huyu mtu ni ghaidi anayejulikana siku nyingi.

 

Amedhibitisha kuwa na US wanamuitaji huyu mtu kwa ugaidi huko wapi na hapa ujibu?
 
Mwingine huyu hapa! halafu eti polisi hawana habari?

 
Si unajua Tz shamba la bibi!kila mtu anakaribishwa regarless of his background tena kwa kishindo ivi TIC wanafanya nini na hawa usalama wa taifa.
Nchi imeshauzwa sasa bado kupewa receipt tuu.
 
Its sad lakini kabla ya kuhukumu, tunahitaji kujua hizo investment ziko kwa jina lipi; there is a lot before we conclude how he got in

anyway, information like this makes me like jf over and over

aksante

the more you read jf the more you know about tanzania
 
Ndugu yangu pole.Mimi naona afadhali aliyeposwa.Sisi hata posa hatujapewa.Bure tumechukuliwa.Tunachongojea ni kuwa watumwa kwenye nchi yetu wenyewe.Tumeshauzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…