Hawa ndio watoto wetu

Hawa ndio watoto wetu

Nikipata mtoto kama huyu namshindisha store siku nzima
 
hahahaha what is the strongest force on earth kajibu love hahahahaha kaniacha hoi ila kana akili sana hako
 
Bora nimeona huu uzi asubuhi maana nimeondoa stress zangu za jana lol!
 
Majibu ya watoto yanachekesha mno! englibertm, kwa nini hukupeleka jukwaa la jokes?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom