Che Kalizozele
JF-Expert Member
- Jul 20, 2008
- 777
- 51
kufanya generalization katika ishu kama hii ni uvivu na ufinyu wa kufikiri bwana nguvumali, si kweli kwamba ifm/cbe hakuna wanafunzi smart na walio na akili just be specific to those who cheated, usihukumu na wasio na makosa. Hivi ni vyuo vilivyo makini na vinaongozwa na watu makini na wengi wao wametoka katika vyuo bora na vyenye sifa kama udsm,mzumbe na hata nje ya nchi,
kuwahukumu jamii yote kuwa ni mbovu ni makosa jaribu kufikiri mheshimiwa.
wewe huijui IFM vyema, hiki niuchuo ambacho huwezi kucheat ukakamatwa ukaachwa, huyo mtu anaetajwa kama Andendekisye Mark kwa sasa ni msajili wa chuo, aliwahi kumkamata mkewe katika sup,
tofauti na vyuo vingine IFM ukikamatwa jamii nzima hutaarifiwa , na kwa hilo huwa somo kwa wengine wote.
vyuo vingine hii hubaki kuwa siri ya ndani.
Ukitaka kujua IFM NI NOMA NENDA PALE BOARD YA UHASIBU KAULIZE NI NANI ALIENGOZA MWAKA JANA KWENYE cpa, Huyu anaitwa Hansigar, mwanafunzi bora wa jumla katika mwaka wa masomo uliopita, Hongera Andendekisye kwa kumkamata huyo mdanganyaji wa mitihani.
Tukumbuke pia Jumuiya ya afrika masharika hiyooo iko njiani.Tutauweza ushindani kwa staili hii.
mzee na wewe umo nini? maana utetezi huu hauna mantiki. hivi kumkamata mkewe kunatusibitishia kuwa ifm ni safi? anastahili hongera wakati ni sehemu ya kazi yake? vipi kuongoza cpa hakutuondolei shaka juu ya ubora wa wanafunzi ifm. je unauhakika gani kuwa yeye hakufanyiwa mtihani? Kamchezo haka kamezoeleka ukweli ni kwamba hata huyu aliyekamatwa angefanikiwa basi wangesema huyu ni mkali wa huko ifm.kumbe si lolote wala chochote. hata wanafunzi wenyewe wanakili ifm kumejaa tumchezo. Pia kazini tunawaona wamekosa kujiamini na kazi wafanyazo, kila kitu lazima aulize hata vile ambavyo unategemea mtu kama huyu inatakiwa awe anajua. Hivi admission office kweli ipo makini? mtu asiyejua kukokotoa ameingiaje huko kwenye mahesabu. Hivi kutarifu jamii ni kazi ya chuo au mapaparazi? na kuwa inabaki kuwa siri, unaweza ukatuwekea evidence ili tuamini. tunaifahamu vizuri ifm lakini simaanishi kila anayemaliza ifm basi ndio katumia kamchezo. no kuna watu safi pia.wewe huijui IFM vyema, hiki niuchuo ambacho huwezi kucheat ukakamatwa ukaachwa, huyo mtu anaetajwa kama Andendekisye Mark kwa sasa ni msajili wa chuo, aliwahi kumkamata mkewe katika sup,
tofauti na vyuo vingine IFM ukikamatwa jamii nzima hutaarifiwa , na kwa hilo huwa somo kwa wengine wote.
vyuo vingine hii hubaki kuwa siri ya ndani.
Ukitaka kujua IFM NI NOMA NENDA PALE BOARD YA UHASIBU KAULIZE NI NANI ALIENGOZA MWAKA JANA KWENYE cpa, Huyu anaitwa Hansigar, mwanafunzi bora wa jumla katika mwaka wa masomo uliopita, Hongera Andendekisye kwa kumkamata huyo mdanganyaji wa mitihani.
Kipindi ambacho alimkamata "Mkewe" walikuwa tayari wameoana au?
Hii umeitoa wapi? Labda kuna kozi ambazo wewe unamaanisha? Au la ni yale maneno ya mtaani. Nimesoma Tanzania na nje ya nchi. Loh elimu yetu bado tupo nyuma saana ukienda kwenye vyuo ambavyo viko juu unatapatapa mpaka baada ya muda ndio unajiadjust. Ni wanafunzi wangapi wa Tanzania wanaweza kuandika wanachotaka kusema kikaeleweka bila kumuita atoe maelezo ya nini alitaka kusema? Na hao wanaoandika, maandishi yao yanakuwa formal kiasi gani? Hii inathibitishwa hata na wahadhiri wangapi wanaandika kazi zao kwenye machapisho ya kimataifa?Shule ya bongo ni ngumu bwana ,vitha ni vitha mura!!!
Yah naungana na wewe kwahili la generalisation. Binafsi nimewahi kufanya kazi huko UDSM na IFM kwa vipindi tofauti. Matatizo ya vyuo hivi yanatofautiana. Tuwe wakweli, UDSM inachukua wanafunzi wengi ambao ni smart kuliko IFM, wakati IFM hawapo smart km UDSM kwa kiasi kikubwa. Lakini judgement ya intake inaweza kuwa si fair kama hatujaangalia kuanzia smartness ilivyopatikana pia (hili naliacha si mada). Ukifika IFM unakutana na walimu wengi waliosoma UDSM na wengine wanaofundisha UDSM wapo IFM kama parttimers. Kwahiyo bado wanafunzi hawa wanafundishwa almost vitu vinavyofanana. Labda tu wa IFM wanabahati moja ya ziada kwamba walimu wao wengi wamesoma nje ya nchi kwenye vyuo bora kuliko hata UDSM kwahiyo wanapata exposure fulani. Lingine labda IFM wao seminars/tutorials zao zipo serious si za kubabaisha kama business school ya UDSM huko FASS (school ya nini sijui kuna afadhali kwingine sina hakika).kufanya generalization katika ishu kama hii ni uvivu na ufinyu wa kufikiri bwana nguvumali, si kweli kwamba ifm/cbe hakuna wanafunzi smart na walio na akili just be specific to those who cheated, usihukumu na wasio na makosa. Hivi ni vyuo vilivyo makini na vinaongozwa na watu makini na wengi wao wametoka katika vyuo bora na vyenye sifa kama udsm,mzumbe na hata nje ya nchi,
kuwahukumu jamii yote kuwa ni mbovu ni makosa jaribu kufikiri mheshimiwa.
kama kuna mwanafunzi yeyote wa vyuo vingine mnasoma jf anaelewa fika mzingira ya ifm kuwa ni magumu sana nasema magumu kutokana na jinsi system ya pale ilivyo.....wanafunzi wanafeli sana kwa kuwa wanakaza sana mitihani....haya yanayotokea ni namna tu ya kujihami kutokana na hali hiyo........kuna wale wanaoitwa inservice huwa wanafeli mpaka unaona huruma kwani chuo hakina huruma na hawajari umetoka wapi.......sifagirii wanafunzi kucheat ila wanafanya hivyo kwa kuwa hali pale ni ngumu sana hivyo wanataka kufaulu kwa vyovyote vile.....hakuna asiyejua kuwa ifm is a very marketable college in the country wanafunzi wa ifm wanafanya vizuri sana katika ajira zao.......
Kinachofurahisha zaidi ni pale mwanafunzi wa form 6 anapomfanyia mtihani mwanafunzi wa stashahada
hii imenistaajabisha sanaKinachofurahisha zaidi ni pale mwanafunzi wa form 6 anapomfanyia mtihani mwanafunzi wa stashahada
alikufwa au alifunjika viwuno?Nimemaliza Ifm hapo 2009 haya mambo yapo Sana, nakumbuka Kuna mwanafunzi alijirusha kupitia dirishani ghorofa ya Pili alipobainika anamfanyia mtu mtihani.
Hata sikufuatilia ilikuwaje baadae maana walimpeleka hospitalalikufwa au alifunjika viwuno?
[emoji23][emoji23][emoji23]
pamoja mkuuHata sikufuatilia ilikuwaje baadae maana walimpeleka hospital