Hawa ndio wanawake bwana

yamekukutaaa eti "demu sura mbaya" we jamaa wacha kua a maneno makali ivo aisee
 
[emoji4] [emoji4] [emoji3] [emoji3] [emoji3] babu unanichekeshaga ngoja nikuitie mhenga mwenzio akujibu... Km alikula mahari yngu ujue yupo km bado hujue hayupoo
Kama hayupo, ntakuwa sina jinsi. Ntalazimika kukuoa mwenyewe...
 
Anakwambia ana mtu ili kupima msimamo wako juuu yake ..so kama unampenda kwelii utaendelea kumshawishi awe wako.
 
Na mimi maini yameshakomaa.... ntapambana na hali yangu...

Nzi kufia kidondani ni ushujaa ujue...
[emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] we sitaki lawama
 
Nimekutana na moja mzuri sana ameolewa
Ila nimeanza kumpa somo la kupata mtoto wa kiume
Ni mzuri sana lkn inabidi nijikite katika kumpa mafunzo
 
Hata demu awe mbaya? Kuna mwanamke mbaya? Labda wewe ndo mbaya ndo maana wanakukataa wanakwambia wana wachumba hata kama wapo single!!
 
Ndio nyie mnaosema wanawake wanapenda kudanganywa.
Umeambiwa ukweli mtu yupo kwenye relationship nayo huamini. Au mtu atembee na mpenzi wake ndio utaamini
 
Tutagawana pensheni yangu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uongo huoo nigawie yangu kwanza kabla sijakupa u ili ukija kufia kwenye utamuu nijue namgao wangu kbsaa[emoji6]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uongo huoo nigawie yangu kwanza kabla sijakupa u ili ukija kufia kwenye utamuu nijue namgao wangu kbsaa[emoji6]
Tena kwa kukuonesha msisitizo, mgao unalewa na Harrier New model...

Sipendi mtoto mzuri upigwe na vumbi za vi IST, Passo na Vitz
 
Tena kwa kukuonesha msisitizo, mgao unalewa na Harrier New model...

Sipendi mtoto mzuri upigwe na vumbi za vi IST, Passo na Vitz
Nyie wazee wa sikuhizi mbwembwe Kwishaa[emoji56] pesa Hamna nguvu nazo hamna mnaishia tu kutudanganyaaa

Au unakale kaugonjwa maana siyo kwa mbwembwe hizooo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] nimeghairi chitaki tenaaa
 
Duh... unaikimbia bahati mchana kweupeeee....

Ngoja nimtafute Hamisa...
 
Duh... unaikimbia bahati mchana kweupeeee....

Ngoja nimtafute Hamisa...
[emoji16] [emoji16] naogopa sijawahi panda hiyo gari usikute ni watu wasiojulikanaa[emoji124] [emoji124]
 
Mwanamke asili yake ni kudeka na kudekezwa...

Akiwa hataki kungea na wewe hukaa kimya tu, ukiona anakuambia mpaka shikamoo, ni wewe wakujiongeza na kuacha kulalamika...

Alafu wao kusema wanawatu wao, ni kukujaribu msimamo wako... Wanawake ni viumbe wenye majaribu sana...

Cc: mahondaw
 
[emoji16] [emoji16] naogopa sijawahi panda hiyo gari usikute ni watu wasiojulikanaa[emoji124] [emoji124]
Namtafuta Hamisa amrudishie Diamond kale ka RAV 4 alikompa...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…