Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
Mbona hauweleweki kabisa.elezea zaini ni akina nani unafumba fumba ya nini.Longa yote tujueNimesikitika sana kusoma haya makala ya watu kama hawa wanaosadikiwa kuwa ndio wasomi na viongozi wa kesho wanaoweza kuliokoa Tanzania. Hawa Vijana wanaipeleka Tanzania pabaya na Rhetoric Zao. Mbona wanawavamia wachina na siyo wakina Smith? Nimesikitika sana. Tunahitaji wazalendo watakaoitetea taifa na wawekezaji siyo hawa wanasiasa uchwara. Mnamsema Kibonde, hawa ndio watu wa kushambuliwa siyo Kibonde anayetetea Umma wa Kitanzania. Ovyo sana, hatuwataki hapa Tanzania, wabaki huko huko ulaya wabebe maboxi na wakina mwanakijiji, Dr. Kaborou na wengine wote. Tanzania wanafiki hawakubaliki
Fisadi,
Kabla hujasikitika sana naomba unitajie nchi moja tu ambayo ilifanikiwa kupiga hatua za maendeleo kwa kutegemea wawekezaji. Investment has to be only part of the development process. Waulize rafiki zetu wa Malaysia na Thailand.
Hao hao uliowataja Malaysia, walifikaje hapo walipofika bila wawekezaji?

Wawekezaji gani wa Nyamongo, Bulyanhulu, Geita, Buzwagi na Buhemba au? Au wawekezaji kwenye ardhi yetu wanaotunyemelea tukiwa bado usingizini wananyakua ardhi baada ya muda tukiamka tunakuta hakuna hata pa kulima bustani?
hacheni ubishi wakina mashaka wanaweza kuleta machafuko katika nchi ambayo rais wetu mpendwa JK anajaribu kuleta amani kila siku. Nyie chaema mmefilisika na mada.