NDANGA
Member
- May 19, 2014
- 53
- 27
Wakuu naomba tusaidieane kuwa hawa viongozi wetu wanamategemeo gani kuhusu Msitu wa Shengena wenye rasilimali nyingi hivi?
Mbunge wa Jimbo la Same Magharibi, David Mathayo na Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Anna Kilango Malechela, huku wajijua wazi na kuamua kimakusudi kuruhusu uharibifu wa Shengena ambao ndio uti wa mgongo wa wakazi wao kwa kuwa vyanzo vyote vya maji huanzia katika msitu huo lakin bila huruma wameruhusu uchimbaji wa udongo
mwekundu ndani ya hifadhi ya msitu huo.
Huku wakijua tumeishi kwa ustawi hata bila ya uchimbaj wa bauxite na cha ajab zaidi mwekezaj huyo ni ndugu wa karibu wa Mbunge mmojawapo hapo!
Udongo huo ni mchanganyiko wa dhahabu kwa vielelezo vya Mkemia Mkuu wa Serikal huku wao wakichukua kodi ya udongo badala ya dhahabu.
Uharibifu huu umeleta athari kubwa sana ya mazingira hasa upungufu wa maji na ugumu wa maisha kwa wananch, hili halikubaliki na halivumiliki na inabidi tutakutana wadau wenye nia ya kuwasaidia wapare wenzangu Dar es Salaam tujadil hili nakutoa tamko na mikakati ili kunusuru rasilimali zetu kwa mustakabal wetu na vizaz vijavyo.
Naomba tushikamane kwa maendeleo yetu.