tawa driller
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 296
- 152
Habari wa jf...Tawa Water Proffesional ni kampuni inayojihusisha na masuala ya uchimbaji wa visima virefu na vifupi kwa matumizi mbalimbali
1: kwa ajili ya matumizi ya binadamu eg. Kupikia,kunywa au kuoshea vyombo
2: kwa ajili ya matumizi ya kunyweshea mifugo
3: kwa ajili ya matumizi ya kumwagilia mimea/mazao mashambani
Na kazi zao kubwa hawa Tawa ni,
1: uchimbaji wa visima
2: ufungaji wa pampu
3: Usafishaji wa kisima kilicho chafuka
4: utengenezaji wa pampu iliyoharibika
5: Utoaji wa ushauri kwa mtu yeyote anayehitaji kuchimbiwa kisima ( huduma hii ni bure kabisa)
6: utafiti wa maji ardhini ( ground water survey) huduma hii kwa sasa tumeisitisha.
Kwa wadau wote wenye mahitaji juu ya huduma tulizo ziandika juu hapo tunawakaribisha saana msisite kututafuta ili kupata huduma iliyo bora kabisa.
Bei zetu...
Kuhusu suala la bei zetu zime gawanyika katika makundi makuu mawili na ndani ya hayo makundi kuna vijikundi viwili viwili tofauti tofauti,
Kundi la kwanza (Bei za walioko Dar es salaam)
i)bei kwa maeneo yenye miamba laini ( soft rock)
Hapa bei zetu ni;
1: shillingi 40000 ( elfu arobaini) kwa mita moja; kutokana na bei hiyo mteja atachimbiwa tu kisima ila vitu muhimu vyoote katika kisima atatakiwa anunuwe yeye mwenyewe mf. Pvc's,pampu,polypipe,wire na nk.
2: shillingi 60000 (elfu sitini) kwa mita moja; hapo mteja atachimbiwa kisima na kuwekewa bomba ( pvc ) na kufungiwa pampu pamoja na kuunganishiwa kabisa na polypipes.
3: shillingi 70000 ( elfu sabini ) kwa mita moja, hapo mteja atachimbiwa kisima,atawekewa pampu,pvc,polypipes pamoja na kuflashiwa kisima chake.
4: shillingi 80000 ( elfu themanini ) kwa mita moja, hapa tutakuchimbiya,tutaweka pvc,pampu,polypipes,flashing na kukupa tanki la maji.
ii) bei kwa maeneo yenye miamba migumu ( hard rock )
1: shillingi elfu themanini (80000) kwa mita moja; kwa bei hiyo mteja atachimbiwa tu kisima chake na vitu muhimu vyoote atavinunuwa mwenye mfano.pvc,pampu na nk.
2: shullingi Laki na ishirini ( 120000) kwa mta moja, hapo mteja atachimbiwa na kuwekewa kila kitu isipokuwa tanki la maji.
Kundi la pili ni wale wateja wa nje ya mkoa wa Dar es salaam
1: maeneo yenye miamba laini tunachimba kwa Shillingi Laki moja kwa mita na hapo mteja tunamuwekea pvc,pampu na vitu vingine
2: kama eneo lina mwamba mteja tutamchimbia kwa hiyo hiyo bei ya Laki moja na ishirini kwa mita moja na kwa bei hiyo tuta muwekea kila kitu.... Ila kama mteja atataka tumtobolee tu kisima halafu vitu vingine atanunua yeye mwenyewe tutamchimbia kwa shillingi elfu themanini kwa mita moja.
Nb kwa wale waliopo
bagamoyo,Kibaha,mLandizi,ruvu na maeneo ya karibu na Dar es salaam tunawachimbia kwa shillingi elfu themanini kama eneo halina miamba migumu na hapo tunamuwekea kila kitu na kwa maeneo yenye miamba tunachimba kwa shillingi laki na ishirini kwa mita moja nayo tunamuwekea kila kitu hapo
Ni chaguo lako ndugu yangu mteja kuchaguwa ni kifurushi kipi unakihitaji kutoka kwetu ila uinjoi nacho. Hii yote ni dhumuni la makusudi kutoka Tawa Water Proffesional kumpa mteja wake uhuru wa kuchaguwa kipi anachotaka.
Kwetu sisi mteja ni mfalme ndio maana tupo tayari kumfanya mteja wetu aridhike kwa huduma tutoazo sisi.
Kwa mahitaji ya huduma zetu piga simu namba
0655541948/0628080096
Njoo tukuhudumie achana na matapeli.