Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,074 Reaction score 43,524 Jul 31, 2018 #21 Tish said: Vipi ukaaji wa bando kwa voda 4G maana tigo 4G bando inakata sana 1Gb inaisha ndani ya dk10 kama una watching video online mpaka nimeamua ku change kwenye settings nitaweka 3G only Click to expand... Internet yoyote ya 4g itakula bando, sababu ndani ya muda mfupi unafanya mambo mengi na kuangalia quality kubwa. Solution ni kujua unachofanya. Mfano kama ni youtube download youtube go halafu set quality ndogo kama 240p ama 360p litakaa bando lako
Tish said: Vipi ukaaji wa bando kwa voda 4G maana tigo 4G bando inakata sana 1Gb inaisha ndani ya dk10 kama una watching video online mpaka nimeamua ku change kwenye settings nitaweka 3G only Click to expand... Internet yoyote ya 4g itakula bando, sababu ndani ya muda mfupi unafanya mambo mengi na kuangalia quality kubwa. Solution ni kujua unachofanya. Mfano kama ni youtube download youtube go halafu set quality ndogo kama 240p ama 360p litakaa bando lako
Tish JF-Expert Member Joined Aug 15, 2014 Posts 360 Reaction score 209 Jul 31, 2018 #22 Chief-Mkwawa said: Internet yoyote ya 4g itakula bando, sababu ndani ya muda mfupi unafanya mambo mengi na kuangalia quality kubwa. Solution ni kujua unachofanya. Mfano kama ni youtube download youtube go halafu set quality ndogo kama 240p ama 360p litakaa bando lako Click to expand... Asante chief nitazingatia hivyo naipenda coz speed ni kali.
Chief-Mkwawa said: Internet yoyote ya 4g itakula bando, sababu ndani ya muda mfupi unafanya mambo mengi na kuangalia quality kubwa. Solution ni kujua unachofanya. Mfano kama ni youtube download youtube go halafu set quality ndogo kama 240p ama 360p litakaa bando lako Click to expand... Asante chief nitazingatia hivyo naipenda coz speed ni kali.