Mbona speed ya kawaida tu hio kwa 4g? Either server ipo slow ama upo eneo ambalo speed ni ndogo. 5 to 13mbps ni ya kawaida sana. Humu watu wanasifia 4g ikiwa angalau 40mbps kupanda juu.

I wonder 13Mbps ni kawaida sana... Mimi nakaa sehemu network si nzuri but nishawahi record 40Mbps hapa nimekaa napata 20Mbps nikiwa milimani kwangu natumia TiGO
Vipi ukaaji wa bando kwa voda 4G maana tigo 4G bando inakata sana 1Gb inaisha ndani ya dk10 kama una watching video online mpaka nimeamua ku change kwenye settings nitaweka 3G only