MTENDAHAKI2
Member
- May 23, 2013
- 37
- 4
Ni siku ya tatu tokea wakaazi wa misufini kata ya MAFIGA wilayani Morogoro kuona nishati ya umeme,hivi ingekua KWAMABOSI wangefanya hivi tena basi hata taarifa hakuna nanukuu maneno ya MPOTO "Kukumbatia maji kama jiwe ni UJINGA" TAFAKARI KISHA CHUKUA HATUA