Hawa ndio binadamu

Yeah! Ndivyo tulivyo, mwenzio akipata unachukia na akikosa unafurahi.
 
Hakuna anayependa mafanikio ya mwingine.. kila mtu anataka awe yeye kwenye hali ya mafanikio... ukiporomoka watu hufanya sherehe...
 
Yapo mengine mtu anatuma update za msiba, wewe unalike ni kutojua unachofanya au vip sjui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…