.
"Kichwa cha mshua halali yetu"?!! - No comment!

Hivi hawa askari wanalipwa mishara yao kwa kodi zetu wanaona fahari gani kutupiga na kutuua ?
Kwa hiyo wale wasiotii sheria wanaruhusiwa kuwaua?jukumu lao msingi ni kulinda raia na mali zao kwa kusimamia utii wa sheria
Hivi hawa askari wanalipwa mishara yao kwa kodi zetu wanaona fahari gani kutupiga na kutuua ?
Bango linachochea uasi hilo???