HAWA MITUME WASAKA TONGE MJINI

shelumwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
516
189
maana haya mambo yanayofanya kweli wasaka tonge kuna hali ya MUNGU kweli hapa
 

Attachments

  • 1456847545881.jpg
    1456847545881.jpg
    43.1 KB · Views: 150
  • 1456847578471.jpg
    1456847578471.jpg
    51.1 KB · Views: 148
Tatizo la wagalatia ni viumbe wa ajabu Sana, watakuja hapa kutokwa povu kutetea ujinga kama huu,
Sio kwamba hawajui kama jamaa matapeli wanajua sana
 
Watu wenye hekima hawashangai haya,maana hayana budi kutokea nyakati hizi.
 
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
binadamu kapewe akili na maarifa lakini anashindwa kuzitumia.
Sijui watajibu nini siku ile watapoulizwa na Mungu
 
Back
Top Bottom