Jr. Gong Mira JF-Expert Member Joined Dec 14, 2017 Posts 1,281 Reaction score 1,306 Feb 24, 2018 #1 Habar wana JF. Nmekaa nimetulia mara imeingia mesej naangalia ni mesej ya hawa matapeli wanaojifanya waganga Daah hvi bado wana imani tu ya kupata watu wa kuwapiga hela kwa njia hii kwel!??
Habar wana JF. Nmekaa nimetulia mara imeingia mesej naangalia ni mesej ya hawa matapeli wanaojifanya waganga Daah hvi bado wana imani tu ya kupata watu wa kuwapiga hela kwa njia hii kwel!??
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 54,381 Reaction score 80,394 Feb 24, 2018 #2 hahahaaa nenda mkuu ukachukue jini LA Mali ...hutaki kuwa kama bakhresa
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,580 Reaction score 29,716 Feb 24, 2018 #3 KACHUKUE PETE NA JINI LAKO LA MALI MKUU.KESHALIANDAA TAYARI
Jr. Gong Mira JF-Expert Member Joined Dec 14, 2017 Posts 1,281 Reaction score 1,306 Feb 24, 2018 Thread starter #4 Aaah wap angekua tajiri yy kwanza akaacha mambo ya kulala na matunguli cku zote
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,983 Reaction score 1,252,307 Feb 24, 2018 #5 Duh
Muzine JF-Expert Member Joined May 4, 2017 Posts 32,364 Reaction score 60,495 Feb 25, 2018 #7 Kazi kweli kweli
Mwendabure JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,138 Reaction score 1,045 Feb 25, 2018 #8 Kinachouma zaidi ni pale mitandao ya simu kutokanusha kuwafahamu watu hawa. Only in TanzaniaA