hawa majamaa balaa!!!

Ndo maana nikasema vivian ukim Pm tu, kwisha kazi, mnaitana darling na mentor kuanzia lini? Nyani Ngabu utamwitaje? Au ndo ile kila mtu kuwa na jina lake, huyu beibei, huyo honey!!!Haya basi, niite na mimi Honey!!

Kumbe tatizo lako hilo! Leta story Dadito.

Haya sasa Edit sred yako.
 
mirembe tutakwenda wote, tukifika nikumbushe nitakuchorea gari lako la kurudi nyumbani ubaoni.
 
Mi bikra wakati nimezaa?
siulisema hujawahi kuwa na mwanaume kisa eti ulikuwa unasoma, tena ukapost kuwa unataka mtt wa kula nae bata bich, matembezi ya wkend ila sio mtu wa kungonoka nae, haya ya kuzaa yametokea wapi tena?
 
...Fb..mbn Wivu..sasa...waswahili wanasema..ukisusa..wenzio......!!
 
siulisema hujawahi kuwa na mwanaume kisa eti ulikuwa unasoma, tena ukapost kuwa unataka mtt wa kula nae bata bich, matembezi ya wkend ila sio mtu wa kungonoka nae, haya ya kuzaa yametokea wapi tena?
mi wapi nilisema w mi bikra
 
Ndo maana nikasema vivian ukim Pm tu, kwisha kazi, mnaitana darling na mentor kuanzia lini? Nyani Ngabu utamwitaje? Au ndo ile kila mtu kuwa na jina lake, huyu beibei, huyo honey!!!Haya basi, niite na mimi Honey!!

Una vigezo!??

Yaani kumbe thread yote hii...shida yako ndo hii!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…