Hawa mademu wamemaanisha nini hapa

Huu ni upuuzi wa hali ya juu HUMAN RIGHTS vipi au HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA.
 
Hiyo bendera inamaanisha white supremacist no wonder hili jamaa ni racist na hao blacks ni street hookers!..
 
Huyo shoga kafanya editing kwenye hii picha sema mwache aendelee na tabia hii iko siku atayakanyaga atajijua mwenyewe. Mchuma janga ula na nduguze.
 
foto shop hiyo, hizo picha haziusiani.
Kweli Kabisa ni Photoshop ukiangalia kwa makini utaona hao blacks wana kivuli lkn huyo mzungu hana wakati picha imepigwa wakati mmoja, halafu huyo mzungu aliyeketi hana habari wakati tukio la Udhalilishaji Kama hilo linaendelea mbele yake hii inakupa picha ni matukio zaidi ya mawili yaliyounganishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…