Kabisa hakuna kulea bao la mwanaume mwenzake 🤓 Mzee wa kupambania bro pita hapaKafanye DNA test.
Kama mlivyokutana Kise la , basi walee hivo hivo kisela!Maana ya hiyo kauli ni kwa mke wa ndani. Mimi huyo hakuwa mke wangu. Nlikutana nae tu kisela
Mbona unatufokea Ungekuwa na msimamo dume usingekuja kulalama hapa!Msilete huruma kwenye maisha ya watu. Akawapatie baba yao halali na mimi nikalee ambao ni wangu halali. So far sijaacha kuwalea mpaka sasa
Basi Malizana naye kiselaMaana ya hiyo kauli ni kwa mke wa ndani. Mimi huyo hakuwa mke wangu. Nlikutana nae tu kisela