luckyperc JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 495 Reaction score 46 Aug 22, 2011 #1 Jamani hivi kiss fm kipi kimewashinda? Yaani mkitangaza mpira hakuna kinachosikika zaidi ya makelele ya mashabiki,mvula na wewe unaboar kwani si ukae mahali ambapo hakuna mashabiki, jana umetuumiza masikio sana.
Jamani hivi kiss fm kipi kimewashinda? Yaani mkitangaza mpira hakuna kinachosikika zaidi ya makelele ya mashabiki,mvula na wewe unaboar kwani si ukae mahali ambapo hakuna mashabiki, jana umetuumiza masikio sana.
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,684 Aug 22, 2011 #2 watz wanafikiria fiesta tu...vitu vidogo kama hivi wanashindwa kuvirekebisha