Hawa jamaa wanatisha

Mbona wao kila siku wanawashambulia kwa makombora hao jamaa na kuwaangamiza kila uchao...???
 

Mkuu hata wakisoma hawatalewa kwani tayari ndani ya mioyo yao kumejaa chuki kali dhidi ya uislamu....
 
Viranja wa dunia hii ndio watengenezayo haya yaonekanayo sasa...
 
Mtazunguka tu chanzo cha ugaidi duniani ni wazungu.na hasa wamarekani mzungu ni shetani
 
wanapigania dini. waislam wa tz hawajaandamana wala kutoa tamko hata mara moja. silence means wanawasapoti hao wauaji kwasababu wanapigania dini yao. ila mtume akichorwa hapo wanaandamana na kusababisha hadi kifo.


Acha ujinga,wakati LORD RESISTANCE ARMY chini ya uongozi wa joseph konyi,wanauwa wanawake na watoto kule uganda,mbona kanisa na wakristo hawakuandamana kupinga,je tuseme walikuwa wanaunga mkono vita vyao vya kutaka kuitawala Uganda kwa amri kumi za Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…