Mtagwa lindi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 311
- 96
Nmeiona vid
eo akichinjwa live dah! Inatisha sana
boko haram nao ni wazungu convert feki.Huyo mchinjaji ni mzungu convert feki. Wanachinjwa na wazungu feki.mbona mpaka waislam wanachinjwa tu na hao convert feki?
huyo naye ni mzungu convert feki...hahahaha. shetani wa ajabu sana. ameibua imani za kila aina.huyu nae kundi gani
hao ndio waislam halisi, umesahau mohamad alieneza uislam kwa kuchinja sawasawa na vile wanavyofanya hao jamaa?Binafsi mie hao kina alshabab sijui al qaedah sijui isis kama ndio wanavyoitwa nawashangaa sana kweli waislam gani hao kutwa kufanya mauaji........
boko haram nao ni wazungu convert feki.
Unajaribu kusema nin ?
nina chosema isis walipata mafunzo kutoka usa hili halina ubishi
wakafanyiwa kampeni kuleta watu wa nje
lengo ni ku ondoa utawala wa Assad syria.
nakupa mfano wewe uwape silaha panya road uwafundishe mbinu za kivita unadhani wale watakuwa sawa na jwtz?
wale watakua ni wahuni na wauaji , na hio ndio faida ya kuingilia nchi za watu kwa kufanya uchafu kama huu..
yanayo tokea Libya ni sawa na haya
UN ikatumiwa ku support wahuni panya road wa libya kufanya mauaji na kule walifanikiwa kumundoa Gadhafi lakini libya ipo wapi?
wapi UN ilohalalisha uvamizi ?
jiulize si ni UN ndio walio to baraka zile ? sasa kwanini hawako responsible ku-stabilize Libya ? tafakari
Mimi siamini kuwa Waisilamu wote wanfurahishwa na hii, lakini naanza kuamini kuwa magaidi wote either ni Waisilamu au wafannya kwa kuteketea uislamuBinafsi mie hao kina alshabab sijui al qaedah sijui isis kama ndio wanavyoitwa nawashangaa sana kweli waislam gani hao kutwa kufanya mauaji........
mkuu wala usijaribu kujitetea nyie endeleeni kuchinja sababu hata Muhammad wenu alishasema dini yenu itasambaa hata kama ni kwa upanga takbiiirUislam hauamrishi mauaji wala ukatili ni dini pekee inayojali haki za vimbe vyote sio binaadamu tu. Katika uislam huruhusiwi hata kuuwa wanyama ovyo au kukata miti seuze kutoa roho ya binaadamu. Hizi picha na video ni za kutengeneza ili watu wachukie uislam lakini wenye akili wanaelewa kuwa hayo si matendo ya kiislam. Hakuna lisilowezekakana kwa technolojia iliopo si tunaona katika movies kubwa watu wanauliwa, mafuriko, ajali...while is not true. Atashindwajwe mtu kutegeneza clip ndogo tu au picha ya kudisplay chuki zake. Mambo mengine yanataka uwe na akili ya kufikiri si kila unachoona unakivamia.
Tatizo kaka wao sera yao wanasema wanatetea uislam pia hakuna muislam aliyewakana mngewakana mnafiki angejulikana