Hawa Jamaa Wanataka Kunitapeli au Watanipa Ninachoagiza

Hawa Jamaa Wanataka Kunitapeli au Watanipa Ninachoagiza

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,202
Reaction score
25,378
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi toleo la trh 19.2.2021 kampuni ya JUMIA inaonekana ilifungwa rasmi kutoa huduma nchini.
IMG_20251011_230057.jpg

Ila week iliyopita niliwaona wapo active mtandaoni ikabidi niingie niangalie wana nini?

Nikakutama na bidhaa kadhaa, nikaona inafaa, nilipo order wakanipa maelekezo ya fomu nikajaza, mwisho wanadai nilipe 1/4 kwa ajili ya usafirishaji na iliyobaki nitalipa mzigo ukifka.

Nikashtuka, nikasema na serikali ya kichwa changu "oyaa unaenda kupigwa mtama"

Laaulah lakwata, nikawakumbuka wadau ili mnijuze.
Screenshot_20251011_223736.jpg


JUMIA ipo au awa ni waizi wanatumia dead company kuibiwa watu
 
Mkuu hao bado wanafanya kazi nchini na juzi kati mmetoka kuagiza headset, Na nililipia kiasi na mzigo ulipofika nikamalizia kama ww unavyoambiwa hapo.

Nachowapendea ni waaminifu na mzigo unakuja kwa wakati, wanakuja na risiti kuonyesha pesa uliyolipa na unayopaswa kulipa.
 
Back
Top Bottom