Loh!!!! Wote hao ongeza kwenye listi bora hata mafundi viatu hao wapaka rangi balaa kuna sehemu moja Sinza nafikiri panaitwa Madukani dah unakuta dada zetu wamewawekea miguu juu hawa wapaka rangi jaribu siku moja upite maeneo hayo uoneMafundi chelehani vp? Wapaka kucha je? Mafundi viatu :clap2:
mmewasahu madereva wa waheshimmiwa/maboss jamani.....
Mmesahau walimu wa 'vyuo vya dini' mtaani
Maboss bwana we acha tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu....... waheshimiwa je? kuna mheshimiwa mmoja wa chama chetu fulani fulani demu wake alimwingiza kwenye kale kamchakato ka viti maalum nadhani baada ya kufanikiwa kumega demu hajapata kitu ila bado yupo na mheshimiwa sana mbuge wetu kijana sana mtanashati sana..........
Ha ha ha ha ha ha ha
Jafa-laimu, Mista tuuu na Shailozi banji :roll:
Katika purukushani zangu mitaani nimekumbana na hawa jamaa.
Wanaongoza sana kwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wasichana/wanawake;-
Vinyozi hawa wanawanasa sana mabinti kwa mapowder na kuchonga nywele
Madreva tax hawa wanawanasa sana wake za watu nipeleke sehemu flani jamaa anaimba huko huko
Wasagisha mashine hawa nao balaa mahouse girl hapa huwa hawachomoki hata wake za watu
Konta wa daladala hawa nao dah mambo ya staff kwa mabinti ni balaa
Madereva wa malori hawa jamaa kila kituo atakapo funga break amewekeza
Wauza chipsi dahh hawa jamaa kwa gear ya zege na kidali wanamega sana
Wauza genge jamani jamani usiombee awe mpemba atamega mtaa mzima