Wamekoswa ndiyo lkn huo mchirizi kwenye lami sio brake za gari hiyo mkuu mia!angalia kwa makini sana.Hawa Wazigua,wabishi barabarani kama Wahehe wa Tanangozi na madumu yao ya ulanzi kwenye baiskeli

leta rula tupime ajali mkuu. hiyo michirizi ni yatairi ya katikati kushoto. gari iliyumba kwenye kona ndo maana akaingia kulia. je kungekuwa na gari inayo panda unafikiri nini kingetokea? Mia