Hawa hapa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761


Waliombaka yule mdada kule DAKAWA na kumrekodi wakimdhalilisha ndio hawa.

Ila kwa sasa bado wanaitwa watuhumiwa, may be wanaweza kushinda kesi mahakamani, si unajua kibongo bongo.......
 
Kesi kama hiz zishakuwa public hata ungefanyaje huwez kupona!!!

Duc In Altum.
 
Inashangaza hawa jamaa ni watu wa kawaida kabisa lakini wameweza kufanya unyama wote ule!!
 
Sasa ilikuwaje wakajirekodi na SURA zao?!

Teh! Akili zingine bhana!!?
 
Hahahaha!!!! mimi nilitegema hadi kufikishwa polisi wangekua wameshakatwa hizo tupu zao
 
huko jela askari wakisikia wanafumuliwa marinda watawaangalia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…