Hawa hapa tena! Wanaongeza Mapato

Hawa jamaa ni wangese sana rodini hata uki~over speed 5km/h eti wanakukomalia kimenomeno kisingizio eti kukomesha ajali.,mwe!!!
Yaani ndio wanaoongeza ajali kwani wamekuwa wanawa stress drivers.,ni stress tupu kwa road.
 

Attachments

Wengine utakuta wanajifanya wanatengeneza bodaboda
 
sniper hao,,,juzi nilisimamishwa trafiki ananiambia kuna sehemu nilipitisha spidi,nikambishia mana hakuna kituo ambacho nilimuona trafiki kanisimamisha nikagoma,mara kanionesha picha namba ya gari na spidi, kumba wanajificha wanapiga picha wanawatumia wenzio wa mbele kwa whatsup.

Niliwambia waniandikie cheti nitalipa ndani ya siku 7 wakagoma wanadai eti huo mpango uko dar tu
 
Si tulikuwa tunamsakama Jk kwa Kuomba ombi Nje sasa mlitaka Dr. Magu afanyeje Kama sio kukamua Humu humu ndani?
 
Pale wami kama unarudi Dar mkono wa kulia, inapoanza wami wamejenga na kiota cha nyasi cha kujificha kabisa ni ngumu sana kuwaona.
 
Mkuu itakuwa una siku nyingi hujaendesha gari nje ya Dar.
 
Pale wami kama unarudi Dar mkono wa kulia, inapoanza wami wamejenga na kiota cha nyasi cha kujificha kabisa ni ngumu sana kuwaona.
Ha haha hii nchi unawatu wabunifu sema tulitafuniwa kila kitu
 
Nchi ni tajiri sana hii kwanini
Tunakuwa ombaomba
mmeshanielewa
 
Hata mm walinikamata Dodoma bahi nikakomaa wakasema hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…