Hawa ghasia; amesema uzembe na utendaji mbovu serikali hautovumilika; ataukomesha kwa watumishi seri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa ghasia; amesema uzembe na utendaji mbovu serikali hautovumilika; ataukomesha kwa watumishi seri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sir.JAPHET, Jun 25, 2012.

 1. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mhe,, hawa ghasia waziri wa nchi ofis ya wazir mkuu TAMISEMI; NI alipokuwa akisoma hotuba yake bungeni ,,inayohusu mapato na matumizi ofisi ya wazir mkuu katika bunge la bajet,,, AMESEMA KUWA anataka kurudisha maadili kwa watumish wa umma ,, kusimamia na kuratibu vizuri ofisi zaserikali ,, kuzuia biashara na magest karibu na ofis za serikali,,mfano mashueni hospitali n,k kulipa madai ya wafanyakazi na watumish wa umma na amesema deni limefika mwisho,, ametoa onyo kwa wazembe na watendaji wabovu serikalini kuwa wawe macho, hatowavumilia,!! na amegusia fedha za rada ,, ambazo zimepelekwa mashuleni kuongeza vitabu,, na madawati!!
   
Loading...