Hawa cowboy walikua moto enzi zao!

Ngoja na sie millenials tuzitafute asanteni sana nyie old timers kwa hizi su9mkuuggestions. Tunahitaji nyuzi kama hizi nyingi.
Mkuu hata Mimi ni millennials Tena 90's mwishoni huku ila kuhusu olds hua nazichambua kama nilikwepo vile kuanzia music,movie,vitabu,historia nk
Hiyo ni hobby yangu Toka nikiwa young hiyo ilinisaidia kujoin na wazee,vijana na wasomi tokea nikiwa kinda sababu ni walikua wananiona ka ginius Uchwara kumbe ujanja ujanja tu wa hapa na pale!
 
Hongera mkuu kama ni hivyo basi hata sisi acha tuwe hivyo

Ni kweli mkuu inawezekana kabisa kikubwa ni kupenda kuchimba vitu vigeni Kila siku na kuulisha ubongo utajikuta automatically unapata vitu vingi Sana vigeni masikioni mwa watu wengi pale ndio utakuta watu wanakuita genius kumbe ni kawaida tu sababu waafrika ni wazito wa kujitafuta maarifa nje ya yale wanayofundishwa na kukalilishwa darasani
Chukua hatua!
 
Mkuu hata Mimi ni millennials Tena 90's mwishoni huku ila kuhusu olds hua nazichambua kama nilikwepo vile kuanzia music,movie,vitabu,historia nk
Hiyo ni hobby yangu Toka nikiwa young hiyo ilinisaidia kujoin na wazee,vijana na wasomi tokea nikiwa kinda sababu ni walikua wananiona ka ginius Uchwara kumbe ujanja ujanja tu wa hapa na pale!
Hatuachani sana mkuu huwezi kuamini ndo namaliza kusoma kitabu cha Audie Murphy(the most decorated soldier in WWII) kinaitwa To Hell And Back. Yaani interest yangu ni mambo ya zamaani tangu nikiwa shule ya msingi huko napenda sana kufuatilia kuanzia vitabu, documentaries etc

Yaani sometimes mpaka wazee wenyewe wananigwaya
nakumbuka nikiwa chuo nilirudi nyumbani ndg yangu mmoja aliniazima PC wakati anarudisha Kuna kauli moja aliongea na kuanzia hapo aliniogopa sana.Kwa vitu alivyokuta mle ndani.

Schoolmates walikua wakiniita Wikipedia yaani wakitaka info za mtu utasikia "muulizeni marapai" hatari tupu. Ila imenisaidia sana kama connection, maongezi deep na watu wazito for hours alafu tunaenda sawa tu yaani.

Kuna Prof mmoja mstaafu akisikia nimerudi likizo lazima aniite tuongee mawili matatu. Ila haya maisha bwn
 
Mzuqa wanajamvi Kwa wale wapenzi wa spaghetti movie nadhani mnawakumbuka Hawa miamba watatu walizinguana Sana kwenye Hii cinema

View attachment 1957795

Elli wallach a.k.a Tuko alikua bonge la comedian humo hahahahaha jamaa ana tamaa hatari mara kibao anafanya njama za kumsnich mchizi wake Brandy ila harakati zake zinagonga mwamba!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Humo ndani nilielewa lile sound track la kicowboy hasa pale mwisho the Ugly Tuko anapotambulishwa na sinema linaisha!

Old is gold!
Kuna jamaa alienda kuumuaa "tuco"
Tuco alikuwa anaoga jamaa alimpomfikia
Badala ya kumshoot akawa anapiga domo
Tuco kmbe alikuwa na bomba akamtandika
Huku akimwambia if you wnt to shoot shoot don't talk

Aise hii movie unaweza iangalia hata mara 1000000

Ova
 
Hatuachani sana mkuu huwezi kuamini ndo namaliza kusoma kitabu cha Audie Murphy(the most decorated soldier in WWII) kinaitwa To Hell And Back. Yaani interest yangu ni mambo ya zamaani tangu nikiwa shule ya msingi huko napenda sana kufuatilia kuanzia vitabu, documentaries etc

Yaani sometimes mpaka wazee wenyewe wananigwaya
nakumbuka nikiwa chuo nilirudi nyumbani ndg yangu mmoja aliniazima PC wakati anarudisha Kuna kauli moja aliongea na kuanzia hapo aliniogopa sana.Kwa vitu alivyokuta mle ndani.

Schoolmates walikua wakiniita Wikipedia yaani wakitaka info za mtu utasikia "muulizeni marapai" hatari tupu. Ila imenisaidia sana kama connection, maongezi deep na watu wazito for hours alafu tunaenda sawa tu yaani.

Kuna Prof mmoja mstaafu akisikia nimerudi likizo lazima aniite tuongee mawili matatu. Ila haya maisha bwn
Haaahahaha hatari sana Mkuu kumbe na Wewe ulikua Wikipedia ya shule Kama Mimi nakumbuka Kuna wadau walikua wananiamini Mimi nikiwapa madini ya Slave trade, Industrial revolution,1stWW,2nd WW nk
Kiasi kwamba hata waalimu wa history hawawaamini mpaka wapate uhakika kwangu
Daaa yaani kiufupi wakati wenzangu wapo Leo Mimi nilikua kesho Yao kitambo
Sijui ule ujuaji ulikua unatokea wapi nakumbuka nikiwa form two Kuna madam alituweka kimagroup na kutupa Kazi mwisho wa siku mnawasilisha mbele ya darasa Sasa ndugu unajua nature ya shule nyingi za kata hata hakuna material ya kupata nondo makundi mengine waliishia kutoa Boko tu
Nakumbuka kundi langu nikiwa kiongozi ikafika siku ya kuwasilisha imebaki nusu saa tu hata kujiandaa hakuna swali ni mambo Slave trade lenye muunganiko na industrial revolution Aiseee nikagawa hints chap Kwa wahuni na kupanda mbele nilijikuta nalichakata chakata mpaka mifano inaenda French revolution na kina Bonaparte Napoleon
Mwisho kwani hata wanafunzi walielewa basi kwanza madam mwenyewe Nahisi hata Yale madini ndio kwanza aliyasikia kwangu akabaki kaduwaa tu

Toka siku hiyo madam akawa ananiheshimu na mpaka kupoteza confidence anavyofundisha kisa Mimi Kuna mda akawa anatoa notes tu halafu ananiangushia jumba bovu niwafundishe wadau!

Mwaka huu mwanzoni nilikutana nae mji Fulani akashangaa harakati zangu za kitaa tu akashangaa
Sijui alijua nitakua mchunguzi wa mambo kale kule misri?
😁😁😁😁😁
 
Kuna jamaa alienda kuumuaa "tuco"
Tuco alikuwa anaoga jamaa alimpomfikia
Badala ya kumshoot akawa anapiga domo
Tuco kmbe alikuwa na bomba akamtandika
Huku akimwambia if you wnt to shoot shoot don't talk

Aise hii movie unaweza iangalia hata mara 1000000

Ova
Tuco mshenzi Sana wakati anaoga Kuna miguno alikua anatoa Kama anapiga nyeto Hivi jamaa ndio alikua anamvizia na kusikilizia kabla hajazama ndani na kumkuta ndani ya jacuzzi ana shower mapovu kibao kachanganya sabuni Kama zote mule jamaa akajua kambamba pazuri kumbe mwenzie masaa ya mbele anaoga huku ndani ya maji kakoki Revolver Kwa mashambulizi ya ghafla!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haaahahaha hatari sana Mkuu kumbe na Wewe ulikua Wikipedia ya shule Kama Mimi nakumbuka Kuna wadau walikua wananiamini Mimi nikiwapa madini ya Slave trade, Industrial revolution,1stWW,2nd WW nk
Kiasi kwamba hata waalimu wa history hawawaamini mpaka wapate uhakika kwangu
Daaa yaani kiufupi wakati wenzangu wapo Leo Mimi nilikua kesho Yao kitambo
Sijui ule ujuaji ulikua unatokea wapi nakumbuka nikiwa form two Kuna madam alituweka kimagroup na kutupa Kazi mwisho wa siku mnawasilisha mbele ya darasa Sasa ndugu unajua nature ya shule nyingi za kata hata hakuna material ya kupata nondo makundi mengine waliishia kutoa Boko tu
Nakumbuka kundi langu nikiwa kiongozi ikafika siku ya kuwasilisha imebaki nusu saa tu hata kujiandaa hakuna swali ni mambo Slave trade lenye muunganiko na industrial revolution Aiseee nikagawa hints chap Kwa wahuni na kupanda mbele nilijikuta nalichakata chakata mpaka mifano inaenda French revolution na kina Bonaparte Napoleon
Mwisho kwani hata wanafunzi walielewa basi kwanza madam mwenyewe Nahisi hata Yale madini ndio kwanza aliyasikia kwangu akabaki kaduwaa tu

Toka siku hiyo madam akawa ananiheshimu na mpaka kupoteza confidence anavyofundisha kisa Mimi Kuna mda akawa anatoa notes tu halafu ananiangushia jumba bovu niwafundishe wadau!

Mwaka huu mwanzoni nilikutana nae mji Fulani akashangaa harakati zangu za kitaa tu akashangaa
Sijui alijua nitakua mchunguzi wa mambo kale kule misri?
Nimecheka sana yaani
umenikumbusha mbali sana mpk leo nikiwa kwenye group mtu akitoa point wadau wananigeukia mimi niki kubali basi na wao wanaafiki.
 
hahahaaha daaa wewe jamaa character zako zinafanana na Mimi mule mule unajua katika hii Dunia Kuna watu wanafanana Kila kitu mpaka matamanio Yao

Halafu watu Kama sisi hata hua hatueleweki Kwa watu wengi Kuna muda hua wanadhani tumedata flani Hivi maana Kuna muda hua naongea vitu ambavyo hata havieleweki Kwa wengi huishia kuona Kama havieleweki na haviwezekani!
 
Mulemule hahaha
 
Kuna jamaa alienda kuumuaa "tuco"
Tuco alikuwa anaoga jamaa alimpomfikia
Badala ya kumshoot akawa anapiga domo
Tuco kmbe alikuwa na bomba akamtandika
Huku akimwambia if you wnt to shoot shoot don't talk

Aise hii movie unaweza iangalia hata mara 1000000

Ova
Hahahaa Tuco alimchapa ngumi kaka yake huku akimwambia njia aliyochukua haikuwa ya kiume.
 
Tuco alikuwa mtata sana

Alafu jamaa kigeugeu

Ila van cleeff bonge la actor naye

Ova
Lee Van Cleeff ana sura ya kibanditi balaa alikua kauzu Hatari sura ya beberu mbuzi,
Kale kazee alikoenda kukafyeka kakampa mpaka msosi na kakamwambia aliyekutuma amekupa kiasi Gani uniue akataja Bei Mzee akapanda dau kuongeza kiasi aachiwe uhai na mzigo ukawekwa mezani ila kakaleta ujanja wa kumtrick Ile kanakoki mashine kumbe mchizi alipokaa chini ya meza kakoki revolver kitambo risasi zikapita chini ya meza Kwa target ya kicowboy zaidi harafu πŸ”₯
Jamaa Chali kafa na pesa ikabebwa aliyejipendekeza Akala zake Mzee mbad akayeya!
😁😁😁😁
 
Nimeicheki torrent ina seeders wachache sana Kuna platform nyingine naweza kupata hii mizigo???
 
Haaahahaha hatari sana Mkuu kumbe na Wewe ulikua Wikipedia ya shule Kama Mimi nakumbuka Kuna wadau walikua wananiamini Mimi nikiwapa madini ya Slave trade, Industrial revolution,1stWW,2nd WW nk
Kiasi kwamba hata waalimu wa history hawawaamini mpaka wapate uhakika kwangu
Daaa yaani kiufupi wakati wenzangu wapo Leo Mimi nilikua kesho Yao kitambo
Sijui ule ujuaji ulikua unatokea wapi nakumbuka nikiwa form two Kuna madam alituweka kimagroup na kutupa Kazi mwisho wa siku mnawasilisha mbele ya darasa Sasa ndugu unajua nature ya shule nyingi za kata hata hakuna material ya kupata nondo makundi mengine waliishia kutoa Boko tu
Nakumbuka kundi langu nikiwa kiongozi ikafika siku ya kuwasilisha imebaki nusu saa tu hata kujiandaa hakuna swali ni mambo Slave trade lenye muunganiko na industrial revolution Aiseee nikagawa hints chap Kwa wahuni na kupanda mbele nilijikuta nalichakata chakata mpaka mifano inaenda French revolution na kina Bonaparte Napoleon
Mwisho kwani hata wanafunzi walielewa basi kwanza madam mwenyewe Nahisi hata Yale madini ndio kwanza aliyasikia kwangu akabaki kaduwaa tu

Toka siku hiyo madam akawa ananiheshimu na mpaka kupoteza confidence anavyofundisha kisa Mimi Kuna mda akawa anatoa notes tu halafu ananiangushia jumba bovu niwafundishe wadau!

Mwaka huu mwanzoni nilikutana nae mji Fulani akashangaa harakati zangu za kitaa tu akashangaa
Sijui alijua nitakua mchunguzi wa mambo kale kule misri?

Bodaboda
 
πŸ€ πŸŽπŸŽƒπŸ”«
Pambaf Sako ndio nilikua Nampango wa kupandisha hili sound track kihere here changu kimeisha umeniwahi
Shukrani mkuu halafu Kuna band inaitwa Sweeden national Anthem orchestra wameipaga hili dude ni balaa wale Watu aisee nenda you tube kawacheki wanapiga vizuri balaa!
😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom