Hawa cowboy walikua moto enzi zao!

Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
4,069
8,235
Mzuqa wanajamvi Kwa wale wapenzi wa spaghetti movie nadhani mnawakumbuka Hawa miamba watatu walizinguana Sana kwenye Hii cinema

81keqIN-tlL._SL1500_.jpg

Elli wallach a.k.a Tuko alikua bonge la comedian humo hahahahaha jamaa ana tamaa hatari mara kibao anafanya njama za kumsnich mchizi wake Brandy ila harakati zake zinagonga mwamba!
😂😂😂
Humo ndani nilielewa lile sound track la kicowboy hasa pale mwisho the Ugly Tuko anapotambulishwa na sinema linaisha!

Old is gold!
 
Dah! Umenikumbusha hii Movie ni balaa aisee. Kuna zile deal za bounty hunter ambapo the good na the ugly wanazimake ambapo kuna kipindi the ugly huko nyuma alishafanyaga masoo makubwa mitaa mbali mbali so he is wanted everywhere kwa gharama yoyote ile. Wanakubaliana the good anamsubmit the ugly kule ambapo he is wanted then anachukua zake mkwanja anasepa, baadae anamuwahi kumsave kabla hajanyongwa wanaenda kugawana mkwanja. Wanaenda kwengine wanafanya hivyo hivyo tena, mwisho wa siku walishindwana kwenye mgao wakazinguana na kuja kulipiziana visasi ila katikati ya visasi wanakutana na deal lengine baab kubwa sasa hapa kwa kuwa the good anafahamu jina la kaburi vilipofukiwa viroba vya pesa huku the ugly yeye akifahamu tu yanapopatikana makaburi hayo bila kujua ni kaburi lipi ndipo wanapoamua kupotezea visasi na kujoin tena. Hii movie huwa siachagi kuirudia kuangalia, kwanza ni ndefu halafu scene zake zote ni za ukweli sana 💪
 
Sasa Kuna hii nyingine inaitwa The Hateful Eight, yani humo kuna wahuni kama 8 hivi wakiwemo bounty hunters, most wanted na wapita njia wamekutana wote sehemu moja baadhi yao hawajuani, ila kwa wale wanaojuana ilibidi wajifanye kutojuana ili kukamilisha uhuni wao (kumuokoa muhuni mwenzao most wanted demu fulani hivi), ila baadae baada ya wengine kuja kushtukiana na kusomana kimya kimya kuwa nani ni nani, sasa kilichobaki hapo ni full kuliana timing za kuuana tu kwa namna yoyote ile. Hii movie nayo ni ndefu na kila scene yake inabidi utulie uifuatilie vizuri ili uielewe maana kuna scene za flash back humo kuunganisha na matukio yaliyopita.
 
Kaka hio movie ni balaa halafu ni ndefu sijawahi kuiangalia yote in one sitting. Ni nadra sana kukuta movie kali halafu ndefu.
 
Dah! Umenikumbusha hii Movie ni balaa aisee. Kuna zile deal za bounty hunter ambapo the good na the ugly wanazimake ambapo kuna kipindi the ugly huko nyuma alishafanyaga masoo makubwa mitaa mbali mbali so he is wanted everywhere kwa gharama yoyote ile. Wanakubaliana the good anamsubmit the ugly kule ambapo he is wanted then anachukua zake mkwanja anasepa, baadae anamuwahi kumsave kabla hajanyongwa wanaenda kugawana mkwanja. Wanaenda kwengine wanafanya hivyo hivyo tena, mwisho wa siku walishindwana kwenye mgao wakazinguana na kuja kulipiziana visasi ila katikati ya visasi wanakutana na deal lengine baab kubwa sasa hapa kwa kuwa the good anafahamu jina la kaburi vilipofukiwa viroba vya pesa huku the ugly yeye akifahamu tu yanapopatikana makaburi hayo bila kujua ni kaburi lipi ndipo wanapoamua kupotezea visasi na kujoin tena. Hii movie huwa siachagi kuirudia kuangalia, kwanza ni ndefu halafu scene zake zote ni za ukweli sana 💪
Ndio muvi kali ninayoipenda toka mdogo hadi ukubwani..napenda dialogue zao hasa ile there is two kind of people
 
Sasa Kuna hii nyingine inaitwa The Hateful Eight, yani humo kuna wahuni kama 8 hivi wakiwemo bounty hunters, most wanted na wapita njia wamekutana wote sehemu moja baadhi yao hawajuani, ila kwa wale wanaojuana ilibidi wajifanye kutojuana ili kukamilisha uhuni wao (kumuokoa muhuni mwenzao most wanted demu fulani hivi), ila baadae baada ya wengine kuja kushtukiana na kusomana kimya kimya kuwa nani ni nani, sasa kilichobaki hapo ni full kuliana timing za kuuana tu kwa namna yoyote ile. Hii movie nayo ni ndefu na kila scene yake inabidi utulie uifuatilie vizuri ili uielewe maana kuna scene za flash back humo kuunganisha na matukio yaliyopita.
Hatari sana ila Spaghetti movie ni kwere unajua miaka zinaanza Hollywood waliwadharau Sana na ndio wakazipa jina la Spaghetti a.k.a Wala tambi 😂😂 kisa madirector wake ni waitaliano
Ila hawakuamini jamaa walivyopokelewa na Dunia na kukubalika Kwa kuvunja rekodi za mauzo!
 
Sasa Kuna hii nyingine inaitwa The Hateful Eight, yani humo kuna wahuni kama 8 hivi wakiwemo bounty hunters, most wanted na wapita njia wamekutana wote sehemu moja baadhi yao hawajuani, ila kwa wale wanaojuana ilibidi wajifanye kutojuana ili kukamilisha uhuni wao (kumuokoa muhuni mwenzao most wanted demu fulani hivi), ila baadae baada ya wengine kuja kushtukiana na kusomana kimya kimya kuwa nani ni nani, sasa kilichobaki hapo ni full kuliana timing za kuuana tu kwa namna yoyote ile. Hii movie nayo ni ndefu na kila scene yake inabidi utulie uifuatilie vizuri ili uielewe maana kuna scene za flash back humo kuunganisha na matukio yaliyopita.
Check na nyingine inaitwa Brimstone(2017) ni ya dakika 140.
 
Tuco "the ugly" anakwambia..

"I like big fat men like you. When they fall they make more noise and sometimes they never get up! "
Huyu mjinga Tuco huwa anaoga na pisto ndani ya maji 😁 kuna bwege mmoja huwa anamsakaga Tuco kitambo mno alimuotea Tuco anaoga halafu akaanza kuleta maongezi mengi, Tuco alimuwasha risasi kutokea ndani ya maji. Tuco Mwenyewe Anasemaga “when you have to shoot, shoot! Don’t talk”
 
😂 😂 😂
Aisee ...
umenikumbusha mbali sana na hiyo phrase inanikumbusha maisha ya shule ya msingi tunajimwambafy na king'eng'e cha movies.....
 
Tuco "the ugly" anakwambia..

"I like big fat men like you. When they fall they make more noise and sometimes they never get up! "
Anakwambia..
If u work for a living why kill urself workin??!!

Na pale amemtaiti blondie gesti.
Akamwambia there are 2 kind of people those who get in by door and who come by the window!

Akamtia kitanzi afu akamwambia..
My system is different than yours,,i dont shoot the rope i will shoot the legs of the stool...
bila TUCO ile muvi isingekuwa mzuri kabisaa
 
Huyu mjinga Tuco huwa anaoga na pisto ndani ya maji 😁 kuna bwege mmoja huwa anamsakaga Tuco kitambo mno alimuotea Tuco anaoga halafu akaanza kuleta maongezi mengi, Tuco alimuwasha risasi kutokea ndani ya maji. Tuco Mwenyewe Anasemaga “when you have to shoot, shoot! Don’t talk”
Hahaahaa nikifikaga hiyo scene hua narudia Hadi mara Tano Tuco mjinga ana visanga Sana!
Halafu Ile lafudhi yake Ina furahisha Sana kumsikiliza,halafu jamaa kwenye kusoma Sasa anababaika hajui vizuri pale Brandy anamuonesha Kaburi la mahela limeandikwa Unknown anavyosoma Sasa daaaa
😂😂😂😂
 
Huku kuchelewa kuzaliwa Napo shida.
Yaani nimezaliwa kipindi cha merlin
Mkuu hata mtoa mada nae ni new generation Tena juzi juzi tu 90's mwishoni ila hua napenda kufuatilia vitu vizuri olds kuanzia music Aina zote nazichambua mpaka wanamuziki wake,movies,vitabu na historia ya mambo kale kiujumla!
 
Hongera mkuu kama ni hivyo basi hata sisi acha tuwe hivyo
 
Back
Top Bottom