Juzi nimefanya trip toka mjini mpaka kitaa kutumia app yao ya Bolt. Safari ilikuwa ya approximately 12km ambapo kwa initial price ilinipa 7000-9000 nikajua ikizidi basi walau elfu 10 sio mbaya.Kilichotokea nafika jamaa ana end trip bei iliotokezea ni 16,000. Sikuelewea hasa ni kipi kimefanya ile bei iwe kubwa namna ile ila moja kwa moja naichukulia kama dhuluma tu. Ni wizii uliokithiri kwa kweli na hauvumiliki na sijui ni mimi tu ndio yamenikuta au kuna wenzangu nao wametokewa na hio situation ya overpricing!?
App ya Uber kwa umbali huo huo huwa inacharge 11000 ikizidi sana ni 12000! Very reasonable increment. Toka bei ya awali ya 9000-10000. Mwanzoni Taxify ilikuwa nzuri kwa bei nafuu ila sasa toka iitwe Bolt ni kigango cha ujambazi kwa kwenda mbele, halii hii haivumiliki watoa leseni wa hizi kampuni pigaji waziangalie upya.
Waliowahi kukutana na hii kadhia jitokezeni tupaze sauti
Ila Wabongo wengi sijui kwa nini uaminifu sifuri. Tunapoenda hizo App watu watazifutaTuliwahi kuandika humu kuhusu wizi wa hizi kampuni watetezi wao walikuja juu sana
Pole sana mkuu, japo kubadilisha Uber siyo suluhisho maana madereva ni wale wale wanakuwa wamejisajili app hata 3Juzi nimefanya trip toka mjini mpaka kitaa kutumia app yao ya Bolt. Safari ilikuwa ya approximately 12km ambapo kwa initial price ilinipa 7000-9000 nikajua ikizidi basi walau elfu 10 sio mbaya.Kilichotokea nafika jamaa ana end trip bei iliotokezea ni 16,000. Sikuelewea hasa ni kipi kimefanya ile bei iwe kubwa namna ile ila moja kwa moja naichukulia kama dhuluma tu. Ni wizii uliokithiri kwa kweli na hauvumiliki na sijui ni mimi tu ndio yamenikuta au kuna wenzangu nao wametokewa na hio situation ya overpricing!?
App ya Uber kwa umbali huo huo huwa inacharge 11000 ikizidi sana ni 12000! Very reasonable increment. Toka bei ya awali ya 9000-10000. Mwanzoni Taxify ilikuwa nzuri kwa bei nafuu ila sasa toka iitwe Bolt ni kigango cha ujambazi kwa kwenda mbele, halii hii haivumiliki watoa leseni wa hizi kampuni pigaji waziangalie upya.
Waliowahi kukutana na hii kadhia jitokezeni tupaze sauti
Wenye kampuni wako kimya as if hili halitawa affectIla Wabongo wengi sijui kwa nini uaminifu sifuri. Tunapoenda hizo App watu watazifuta
Juzi nimefanya trip toka mjini mpaka kitaa kutumia app yao ya Bolt. Safari ilikuwa ya approximately 12km ambapo kwa initial price ilinipa 7000-9000 nikajua ikizidi basi walau elfu 10 sio mbaya.Kilichotokea nafika jamaa ana end trip bei iliotokezea ni 16,000. Sikuelewea hasa ni kipi kimefanya ile bei iwe kubwa namna ile ila moja kwa moja naichukulia kama dhuluma tu. Ni wizii uliokithiri kwa kweli na hauvumiliki na sijui ni mimi tu ndio yamenikuta au kuna wenzangu nao wametokewa na hio situation ya overpricing!?
App ya Uber kwa umbali huo huo huwa inacharge 11000 ikizidi sana ni 12000! Very reasonable increment. Toka bei ya awali ya 9000-10000. Mwanzoni Taxify ilikuwa nzuri kwa bei nafuu ila sasa toka iitwe Bolt ni kigango cha ujambazi kwa kwenda mbele, halii hii haivumiliki watoa leseni wa hizi kampuni pigaji waziangalie upya.
Waliowahi kukutana na hii kadhia jitokezeni tupaze sauti
Basi kuna Shida kwenye app, ni swala taxify ku upgrade app yap. kama dereva anaweza akafanya ujanja wa kucheze na GPS, ilitakiwa app ikatae kufanya kazi kama location imezimwaHao madereva wanaweka location kwenye battery saving mode. Kwahiyo mwisho wa safari ile route inakuwa haipo accurate, ina estimate tu distance ambapo mara nyingi inazidi.
Ishawahi nitokea, nimetoka sehemu mpaka kwangu inaonesha gharama 9,000 ila nimefika ananionesha 24,000 na ramani haieleweki imechorekaje. Nikaichukua simu yake nikaangalia location nikakuta kaweka battery saving mode, nikampa 10,000 nikaondoka bila kumsemesha.
Mwingine wakati anaendesha mi naangalia app ya uber kuangalia jinsi inavyoenda. Nikaanza ona madudu yasiyoeleweka. Nikachukua simu yake nikaondoka battery saving mode kwenye location. Mamb9 yakarudi sawa.
Wakazie hao jamaa.