Wajameni nimepatikana kwa pesa mbili. Baada ya kuhangaika kutafuta msichana wa ndani mke wangu aliomba msaada na tukaletewa toka ukweni - kabila sitaji ila la wajeuri. Msichana hard working lakini masharti kibao. No kitimoto ndani ya nyumba, marufuku mbwa kumnusa, so hao nawalishe mwenyewe, pia marufuku kupishana nao, so mpaka wakishafungwa hatoki nje. No disrespect kwa imani za kidini, but msichana swala zote tano na mbaya zaidi, nikichelewa kurudi home - say 1130pm, yeye wala bosi wake (wife) hawashughuliki. Kumtimua gharama za kumsafirisha, offence kwa mke na mama yake. Kumwacha bughudha - sina imani naye especially na watoto - my kids love dogs. Shida sasa, nyumbani panaanza kuwa jela - natamani nirudi late kila siku kuepuka maudhi. Wajameneni - tuseme hayo ni makubwa ya kujitakia. Naombeni ushauri kabla ya kumtimua. Baadaye ntatoa ushauri kwa wazazi wenzangu - kutoka wapi usithubutu kuletewa msichanana wa kazi. Nawasilisha.
huyo atakuwa mrangi
huyo atakuwa mrangi
huyo atakuwa mrangi
Timua pesa kitu gani wewe nyumba yako inakukosesha amani.
Wanaume wengine bwana.
Ayayayah!! Naona kama umenivutisha bangi kabisa huyo atapitia dirishani usiku huu huu. Mama mkwe akipandisha interest rate ya mahali ilobakia namuwashia moto - pengine by the way alitumwa kuja kujaribu - huwezi jua. Basi. Leo anapata termination notice kubaf!!!Wewe acha ubushoke! Yaani nyumbani Kwangu mwenyewe house girl anipangie masharti mpaka nione shida kuwahi kurudi nyumbani? Aah wapi. Labda Kama niko hoi kitandani sina fahamu.
Mmmh...kabila hili housigelo!!??acha utani bana...Madiba ushauri mzuri. Nilikuwa nataka watu wa kunichallenge tu maana nilianza kujihisi pengine mimi nimekuwa mkorofi. And for Mkupuke, naheshimu sana dini yake mdada, ndio maana nilisitisha kitifire. Suluhu ni kumrushia (fukuza) maana kumlazimisha mtu kufanya kinyume na maadili ya imani yake sio ustaarabu. Amu binti sio Mrangi....ni Mhaya...(subiri reactions sasa....)
tena muondoshe na mkongoto wa nguvu...nyambafuuu...aiseee kuna wasichana pasua kichwaAyayayah!! Naona kama umenivutisha bangi kabisa huyo atapitia dirishani usiku huu huu. Mama mkwe akipandisha interest rate ya mahali ilobakia namuwashia moto - pengine by the way alitumwa kuja kujaribu - huwezi jua. Basi. Leo anapata termination notice kubaf!!!