Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,066
- 4,085
Hii imetokea mchana wa leo.
Jirani yangu ana mtoto wa miezi minne ambaye huachwa na yaya.
Yaya ana tabia ya kumuacha mtoto na kwenda kurusha roho na mume wa jirani yetu, nyumba ya nne toka nyumba tunayoishi.
Mume huyo wa jirani yetu ni mlinzi wa makampuni binafsi, mara nyingi mchana hushinda nyumbani.
Leo binti akiwa amemuacha mtoto peke yake, akaenda kutusuliwa. Mungu mkubwa, mke wa jirani kawafumania red handed.
Na kwa jinsi ambavyo haus gel alivyo kuwa na mkosi, tajiri yake karudi ghafla kakuta mtoto yuko peke yake, kajichafua na analia sana.
Alipouliza mpangaji wa chumba cha pili akasema hajui aliko enda, maana kaondoka bila kuaga.
Muda si muda kundi la watu likavamia nyumbani huku binti na mume wa mwizi wakiwa uchi wa mnyama.
Jamani tuwe tunachoropoka japo kidogo kwenda kuangalia familia zetu.
muwe munaajiri h/boi na h/geri ili wasitoke nje, wamaliziane shida zao hapohapo home.:A S 8:
mmmmh.watamfundisha mtoto mchezo mbaya.Kwa nini usimpeleke mwanao kwenye day care centres?akashinde huko?muwe munaajiri h/boi na h/geri ili wasitoke nje, wamaliziane shida zao hapohapo home.:A S 8:
sasa utampeleka mtoto wa miezi minne?mmmmh.watamfundisha mtoto mchezo mbaya.Kwa nini usimpeleke mwanao kwenye day care centres?akashinde huko?
muwe munaajiri h/boi na h/geri ili wasitoke nje, wamaliziane shida zao hapohapo home.:a s 8:
sasa utampeleka mtoto wa miezi minne?
yani unachosema ni sahii kabisaaaaaaa,maana hawa wasichana hawaaaaaaaaaaaa!Mungu atupiganie tu jamani,si bora kamkuta na jirani waweza kuta na mumeo kabisaaaaaa,simo mie lol