Hatuwasiliani ila nataka ajue simchukii

Hatuwasiliani ila nataka ajue simchukii

Yani watu wa humu mtu akileta jambo mnamdharau kweli

Wapi sasa nimekudharau mkuu?
Umeuliza kama umtumie sms au uuchune..mimi nimeshauri uwasiliane nae umtakie happy birthday pia umwambie humchukii, wapi nimekosea ndugu?
 
Wapi sasa nimekudharau mkuu?
Umeuliza kama umtumie sms au uuchune..mimi nimeshauri uwasiliane nae umtakie happy birthday pia umwambie humchukii, wapi nimekosea ndugu?
Hapo sawa ulikua hujaiweka vizuri

Au niandikie sms kabisa niicopy nije nimtumie
Nakukubali sana mama lao
 
Back
Top Bottom