Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,315
Habari wakuu
Kuna binti tulikua kwenye mahusiano kama mwaka mzima ila niliamua kuyavunja baada ya kutoridhishwa na mambo flani yaliyotokea mbeleni.
Sasa baada ya kuachana kuna line nyingine ya halotel nlimsajilia kwa Nida yangu maana yeye hana kitambulisho kwa sasa, nikaona ni vema nikaifunge kwa sababu za kiusalama maana binti hayuko tena kwenye imaya yangu ingawa alikuja kuniuliza juzi kati hapa kwanini niliamua kuifunga nikakataa kwamba sijafunga labda itakua imearibika tu ila ni kama hakuridhika na lile jibu, hiyo ilikua tar30/4 na hatujawasiliana tena hadi leo.
Sasa tar 2/6 kwa kumbukumbu zangu ni siku ya kuzaliwa kwake(Kumbukizi)
Je nifanye nini ili ajue sina kinyongo nae?
Kumtumia sms tu, kukausha mazima au nifanye nini maana sina historia ya kuwekeana vinyongo na ma ex wangu wote.
Ila huyu anajua namchukia kwa yale nlogundua na kufungia line2 nlomsajilia.
Nakaribisha mawazo.

Dah! nini kilipelekea uwachukie kaka
Nampenda sana ndio,hata mahusiano yetu nliyavunja ili nisiumie zaidi maana alibadilika
pia nitakusaidia kumuelewesha kuwa huna kinyongo naye