Hatutaki Mbowe aachiwe huru, tunataka Serikali iliyomshitaki kwa ugaidi iithibitishie dunia ugaidi wake

Free mbowe maana yake ni afutiwe mashtaka na sio asamehewe.Kwenye ulimwengu wa kisheria Kuna tofauti kubwa kati ya kuachiwa huru na kusamehewa.Kwahiyo usidhani watu ni wajinga au hawajui mtego uliotegwa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Good. Ifike mahala watu waelewe hili na kuweka nukta. Kwa nini watu wanajifanya kutoelewa hii logic??
 
Viongozi gani hao wakati Mbowe mwenyewe hahitaji huo msamaha wa kupiga magoti!?

Nadhani CCM walipenda/mlipenda sana Mbowe apige magoti au atokee mtu apige magoti kwa niaba. Poleni sana. Hii ngoma inaendelea hadi tujue ukweli wake.

Pia kumbuka anayesamehewa ni mkosaji, Mbowe hajakosa hivyo hastahiri msamaha bali ni kufutiwa mashtaka (hapo watawala wanaona aibu kufuta mashtaka ya uongo). Mwambieni DPP afute mashtaka ya uongo au mfungeni Mbowe kwa mashtaka ya uongo ndipo Rais aje ampe "msamaha".

Tuiache mvua iendelee kunyesha tujue panapovuja. Tuiache mahakama ifanye kazi.
Tatizo kubwa ni kua sisi wafuasi wa hivi vyama nasi n tatizo kubwa sana , hakuna aibu yeyote kwenye kukaa chini kurekebisha mambo

Mnyika akiwa huku nje anavimba kweli kweli ila behind closed doors wanapiga magoti kuomba mambo yaishe, sasa wanachoficha ni kitu gani??

millardayo~p~CXiOG0JNu4A~1.jpg
Screenshot_20211221-125728.jpg
 
Mbowe anatakiwa kufutiwa mashtaka bila masharti kupitia DPP kwa kutokua na nia ya kuendelea na kesi, baada ya Jamhuri kukosa ushahidi wa kumtia hatiani. Siyo kumtaka aombe msamaha, hakuna msamaha kwa mtuhumiwa. Mwambieni chief ajifunge kibwebwe amwambie DPP aondoe kesi mahakamani bila masharti, Mbowe hawezi kupiga magoti.
ungekua unafuatilia case rafiki ungeelewa ni kwann baadhi yetu tunaona ni busara chama kiongee na mama yaishe

Asije kukudanganya mtu yeyote kwamba mahakama iko huru kias hiki cha ww kusema hv , ushahidi haupo ww ndio unasema hivyo ila mahakama hata wakipelekewa yai wakaambiwa n bom wanapokea na wanasema n ushahidi

Rulling ambazo zimeshafanyika kwenye hii case so far za mapingamiz, sio chini ya hoja 25 .. lakn jamhuri kapewa ushindi zaid ya 95% ambayo kimsingi alipaswa kua ameshindwa zooote , sijui mpaka waje watutoboe na vidole machon watuambie mtu wenu anafungwa ndio tutashtuka , hakuna case pale , pale wanahalalisha kumfunga , usije jidanganya kuna kitu tofaut na hicho
 
Wapinzani akili zenu ndogo sawa na za kondoo. Hivi mnajua mpaka sasa mbowe haijathibitishwa kama ni gaidi ama la. Hivyo anatuhumiwa tu. Na mtuhumiwa akithibitika hakufanya vitendo vya kigaidi ataachiwa huru na hakuna atakayesema chochote. Kwa sasa anawekwa chini ya ulinzi ili kumkinga na madhara atakayoyapata endepo atakuwa huru
 
Tatizo kubwa ni kua sisi wafuasi wa hivi vyama nasi n tatizo kubwa sana , hakuna aibu yeyote kwenye kukaa chini kurekebisha mambo

Mnyika akiwa huku nje anavimba kweli kweli ila behind closed doors wanapiga magoti kuomba mambo yaishe, sasa wanachoficha ni kitu gani??

View attachment 2052808View attachment 2052810
Acha kuokoteza vitu uko kwenye mitandao nakutuletea hapa ambavyo hujui ata ufafanuzi wake ukoje.Kama huhui uliza sio kujifanya mjanja kumbe hakuna kitu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
kwani hao vingozi wao wanahusikaje kutoa maamuzi kwenye kesi ambayo iko mahakamani?.Aliyeshtakiwa ni mbowe wala sio chama na viongozi wake.kwahiyo ni swala la mbowe mwenyewe kuamua afwate masharti ya waliomshtaki ili awe huru,tofauti na hapo ni porojo tu za mitaani.ata hivyo kama unafikiria sawasawa hivi unadhani kati ya waliomshaki mbowe na mbowe ni nani mwenye mamlaka yakufuta hiyo kesi.Na jee hivi kuna mshtakiwa anayeweza kwenda kuomba kufutiwa kesi ya ugaidi.Kuna masheik walifutiwa kesi juzi juzi vip na wao waliomba kufutiwa kesi ya ugaidi iliyokua inawakabili.Mambo mengine hayahitaji elimu kubwa kuyaelewa,its just a common sense.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
LA KUBUMBA HALINA UHAI. Litakufa kwa kishindo kama lilivyoletwa. Mtemi Hangaya anayo nafasi ya kuachana na akina Kingai na kurudi kwenye BUSARA. LABDA atapata kuwa na hekima upya.
 
Ila Chadema ina viongozi wajanja wajanja sana..kuna yule mmoja yuko canada siku zote hawataki amani coz wananufaika na haki zao za ukimbizi.
 
ungekua unafuatilia case rafiki ungeelewa ni kwann baadhi yetu tunaona ni busara chama kiongee na mama yaishe

Asije kukudanganya mtu yeyote kwamba mahakama iko huru kias hiki cha ww kusema hv , ushahidi haupo ww ndio unasema hivyo ila mahakama hata wakipelekewa yai wakaambiwa n bom wanapokea na wanasema n ushahidi

Rulling ambazo zimeshafanyika kwenye hii case so far za mapingamiz, sio chini ya hoja 25 .. lakn jamhuri kapewa ushindi zaid ya 95% ambayo kimsingi alipaswa kua ameshindwa zooote , sijui mpaka waje watutoboe na vidole machon watuambie mtu wenu anafungwa ndio tutashtuka , hakuna case pale , pale wanahalalisha kumfunga , usije jidanganya kuna kitu tofaut na hicho
Nafuatilia sana hii kesi mkuu. Waache wamfunge kwa mahakama hiyo hiyo, tofauti na hapo wamfutie kesi kupitia DPP bila masharti yoyote. Hakuna mtu kupiga magoti kuomba afutiwe mashitaka. Walioanzisha kesi ya michongo wakae na kuamua kuifuta wenyewe. Kesi ya kutunga halafu utake mtu au watu wakapige magoti. Waamue wao wanataka kufanya nini.

Ndugu, elewa hivyo.
 
Halafu hii kesi ina sarakasi nyingi sana.kuna masheikh wa uamsho waliachiwa sijui kama waliomba msamaha halafu wapo masheikh wengine Arusha kitambo sana kwa nini hatuwaombei msamaha wakatoka ila tunakomalia Mbowe ndio apewe msamaha.Hao wengine je.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Labda marinda ya MA.M.A yako na B.I..BI yako ndo hayapo,.. ukileta matusi humu jiandae kujibiwa matusi.. Kamuulize dada yako Joyce Nkya hawara wa Mbowe ana marinda!???... .Usianzishe vita ya mawe wakati unaishi nyumba ya vioo..
BWABWA....🤣🤣🙄🙄

Kaoge kwanza kutoa shombo we DADA,..acha gubu.....🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom