Hatutaki Dom iwe kama Dar

Hatutaki Dom iwe kama Dar

TUTUO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
3,251
Reaction score
2,035
Kwako mtukufu rais wizara na taasisi husika pamoja na wadau wa Real estate naomba mjenge majengo ya kisasa ya kuishi, namaanisha magorofa (apartments) msiwaachie wananchi wajenge peke yao kwani wengi wao wanachafua mazingira hawajengi mfano ni eneo mkabala na mji wa govt, kuna nyumba zinajengwa kwa kasi na hazina viwango hvyo mji wa govt ukikamilika utakuwa mzuri huku pembeni yake kuna mji wa hovyo, igeni hata Misri ukitoka Giza kurudi city centre kupitia Citadel najua mshawahi fika mmeona mji ulivyojengwa .Nawasilisha
 
Na Dom haiwez kuwa kama dar, ukiacha makazi, dar ni kubwa sio eneo ila uchumi wake hivyo hata do m ijengwe vp haiwezi kuwa km dar labda bahari ingehami shimiwa huko, ndo ingekuwa sawa km dar
 
Dar itabaki kua Kama dar na dodoma itabaki kua dodoma, sijui ni lini mkuu atahamia dodoma maana hata tetesi Tena hakuna
 
Mbona unachelewa kusema mkuu hadi watu tumeshajenga vibanda vyetu tayar
Kwako mtukufu rais wizara na taasisi husika pamoja na wadau wa Real estate naomba mjenge majengo ya kisasa ya kuishi, namaanisha magorofa (apartments) msiwaachie wananchi wajenge peke yao kwani wengi wao wanachafua mazingira hawajengi mfano ni eneo mkabala na mji wa govt, kuna nyumba zinajengwa kwa kasi na hazina viwango hvyo mji wa govt ukikamilika utakuwa mzuri huku pembeni yake kuna mji wa hovyo, igeni hata Misri ukitoka Giza kurudi city centre kupitia Citadel najua mshawahi fika mmeona mji ulivyojengwa .Nawasilisha
 
Jamani turushieni picha za wagogo wakifanya mapenzi kwenye ofisi za serikali ambazo hazijakwisha bado.
 
Na Dom haiwez kuwa kama dar, ukiacha makazi, dar ni kubwa sio eneo ila uchumi wake hivyo hata do m ijengwe vp haiwezi kuwa km dar labda bahari ingehami shimiwa huko, ndo ingekuwa sawa km dar
Cairo ni kuzuri kuliko Dar mara 50 lakini hakuna bahari hvyo hata Dodoma yaweza izidi dar slam years to come
 
Mtoa maada nimemuelewa kuwa jiji la dodoma linakuwa sasa lisiachwe lijengwe bila mpangilio kama lilivo jiji letu pendwa la Mzizima, kuwe na mpangilio wa jiji lakini wengi wameelewa tofauti.
Nami nawashangaa kwanini wameanza shindanisha dar vs dom wakati mimi nimetoa angalizo
 
Dodoma mji wa manzi, trachoma, ukoma , vichaa na maombaomba, sifa ambazo The City of Paradise DSM hamna hayo makorokocho.
Dodoma ni jiji la CCM, na DSM ni jiji la CHADEMA ndio maana kwenye uchaguzi halali wa 2015 majimbo mengi ya DSM yalichukuliwa na CHADEMA huku CCM ikilamba majimbo yote ya Dodoma
We mkongwe humu ina maana uzi hujauelewa?
 
Na Dom haiwez kuwa kama dar, ukiacha makazi, dar ni kubwa sio eneo ila uchumi wake hivyo hata do m ijengwe vp haiwezi kuwa km dar labda bahari ingehami shimiwa huko, ndo ingekuwa sawa km dar
Soma tena uzi naona umekurupuka ku comment, nimetoa angalizo tusifanye makosa yaliyofanyika Dar na sijashindanisha
 
Agenda ya mtoa mada ni kuwa anaomba DOdoma paendelezwe kwa mpango maalum na siyo kujenga kiholela ili baadaye kuondoa sintofahamu kama kuja kubomolewa nyumba za watu kama ilivyofanyika hapa kimara -mbezi
 
Kwahiyo ni bahari tu ndio itafanya uchumi wa dodoma uwe kama dar au unamaanisha nini
Na Dom haiwez kuwa kama dar, ukiacha makazi, dar ni kubwa sio eneo ila uchumi wake hivyo hata do m ijengwe vp haiwezi kuwa km dar labda bahari ingehami shimiwa huko, ndo ingekuwa sawa km dar
 
Cairo ni kuzuri kuliko Dar mara 50 lakini hakuna bahari hvyo hata Dodoma yaweza izidi dar slam years to come
Hivi Dar ukitoa wale wanaoishi Masaki, Mikocheni na Osterbay na labda Upanga hivi hawa nao wanaokaa Kimara siju, Mwanayamala, Tandale sijui Mbagala wanasema wako Dar kweli. Mazingira kama yale Manzese au Tandale nikakae pale halafu nianze kutukana watu?? Dar ziko sehemu za kuhesabu ndio watu wanaishi sehemu zingine ni aibu. Wengi ni wahamiaji tu wenye asili ya hapo ni wachache sana na hao wameshatupwa Mbagala wenye pesa wamenunua maeneo.
 
Tuambie hapo ulipo ni eneo gani unaweza fanannisha na Mbagala?.au Tandale?.Dar kila kitu ndugu.Jiji la kukufikirisha jinsi ya kupata pesa,huku mikoani majitu ni mepesi kuridhika,vichwa butu.Ukikuta kachangamka jua huyo katoka Dar au Arusha,
 
Mnadakia kukomenti vitu sivyo kabisa na alivyoelezea mtoa mada, jiji la dar hovyo kabisa, ilimradi tu mji mkubwa lakini asilimia 90 majengo yake mabaya atleast hata ya mikoani..inshort mji haukujengwa kimpangilio, ..ndio maana mtoa mada ameshauri Dom isijengwe kama dar, wajenge majengo ya kisasa ya kuishi/Magorofa (apartments)
 
Tuambie hapo ulipo ni eneo gani unaweza fanannisha na Mbagala?.au Tandale?.Dar kila kitu ndugu.Jiji la kukufikirisha jinsi ya kupata pesa,huku mikoani majitu ni mepesi kuridhika,vichwa butu.Ukikuta kachangamka jua huyo katoka Dar au Arusha,

Nasikia watu wa dar most of them walaini sana yani nyanya nyanya, hata kujishughulisha tu shida! Nikweli kamanda?
 
Binafsi naona tayari makosa yameshafanyika na yanaendelea kufanyika, sioni projects zozote zinazoendeshwa na watu wa real estates business zaidi kama unavyosema wanajenga watanzania wasio na vipato na wanaishia kuunga unga tu, sioni ujenzi wowote wa highways za kuingia kutoka na hata ndani ya mji, city centre imeachwa vilevile na mbanano labda ibaki old city na kujengwe mji mwingine uliopangiliwa na kila kitu, sioni ujenzi wowote wa gardens za kupumzikia, maeneo ya michezo nk, sioni ujenzi wowote wa malls za kisasa zaidi ya ujenzi wa frames za kukodisha, kifupi taabu tu na ni kama tunaendeleza yaleyale ya Dar na Mwanza..
 
Back
Top Bottom