omba mfumuko wa bei ushuke,usiombe kupanda mshahara kamanda,utapewa mshara milioni mbili,kodi laki tisa,ndio umefanya nini?Ule utafiti wa kati ya watz 4 mmoja wao ni kichaa uko sahihi kabisa, yaani pamoja na ubovu wote wa serikali hii ambao ukiaanza kuuelezea kurasa 1000 hazitoshi bado kuna watu mnaona eti wanafanya kazi na wako sahihi bila shaka na wewe ni kichaa.
Mfumuko wa bei ukiwa chini sana,na ukawa stable hata upewe laki nane,itakufaa tu
Mwaka huu watu wanakwenda mapumziko,ishu sio tena kupanda nauli,ishu mabasi hayatoshi zimechukuliwa EICHER za mbezi-gongo la mboto zinapeleka watu mikoani ndio mambo yanayotakiwa bei zishuke,na kuwe na unafuu wa huduma za jamii