Invarbrass
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 504
- 111
hilo nalo neno (penye red)Kama wewe hauna taarifa sahihi ya kukanusha hiki alichoripoti wewe unawashwa na nini? wewe kama umeweza kumuona mwenzako anafuatilia sana huu mgomo na wewe ulikuwa unamuonaje kama hamfuatilii wote?
Huu ni unafki.
ni kweli hata muhimnbili walifika,tatizo hawajafanya kazi.amri ya pinda ilitekelezwa lakini inabidi atoe nyingine na aseme muende kazini na mtibu.nimetoka kusikiliza tbc sasa hivi wamesema kuna madaktari leo wameitikia wito wa PM na wamerudi kazini, baadhi ya madktari hao ni kutoka mkoa wa dodoma
JB ni mshabiki hatari sana wa siasa za kimanamba.
Kuna watu walisema T.B JOSHUA alipinga kuwa hakusema hayo maneno. Sijui ukweli ni upi.
niko kwenye field nimeliona na kulisikia hilo.au unasubiri t.b.c wakuletee taarifa unazozitaka?
JackB umekua ukikazana sana na mgogoro huu hata sijui hizi tarifa unaziokotea wapi? nahisi unapelekeshwa na nguvu ya ziada ya ushabiki,hao manesi waliya sema hayo wapi na lini?
hata msemaji wa manesi kasema hawako tayari kufanya kazi na madaktari walio chini ya viwango kutoka majeshini. Bbc swahili service leo jioni.