HATUJAWAHI kuwa na MUUNGANO..

HATUJAWAHI kuwa na MUUNGANO..

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
1,487
Reaction score
913
Narudia Tena kusema hatuja wahi kuwa na Muungano..

Kuna watu akili zao hazitaki kufikiri, wamekuwa mizigo na sidhani kama Taifa hili kwa sasa tunahitaji sampuli za watu kama hawa ambao bado wanatulazimisha tushikilie mawazo yetu na yao kwamba Tumewahi kuwa na Muungano ati wa nchi iliyoitwa Tanganyika ikaungana na nchi nyingine inayoitwa Zanzibar ati Tukapata nchi Moja Tanzania. Ni kauli za Kizandiki, Uongo uliokithiri na Uchafuzi wa jamii ya Watanzania inayoanza kustarabika.

Hesabu rahisi kabisa inaweza kutumika kutupa Ukweli huu

Tuseme Zanzibar ni Nchi yenye Mamlaka na Dola lake in all aspects let it be set A
Then Tanganyika nayo pia ina mamlaka yake ya kiinchi kama dola linalo jitegemea be set B

seti hizi mbili A and B zinaungana, which mean wote wawili wanaungana kuwa SETI MOJA..
350px-Venn_A_intersect_B.svg.png ......... UNION.png
OPERATION ya Union Set inakuwa true pale ambapo si rahisi tena Mtu kuchambua element zilizokuwa kwenye set A na zile zilizokuwa kwenye set B.

Kama Tanganyika Iliungana na Zanzibar hiyo miaka ya hamsini-kweusi, iweje basi ati awepo raisi wa huku na kule, serikali ya huku na Kule, bunge la huku na kule huu si Muungano, ni kudhalilisha Hisabati pamoja na Watanzania kwa Ujumla wetu.

ndio maana kila unapogusia topic ya Muungano Vichwa vya watu vinauma kwa sababu ni kitu kisicho eleweka bayana..

naomba serikali hii 'sikivu' itupatie jina halisi ya hiki tulicho nacho to me ni mjumuiko wa nchi na si Muungano. kuna vitu tunajumuika pamoja mengine kivyake vyake . now if that is tufute neno Muungano kwanza tutafute neno linalo stahili.

kisha ndipo tufanye mjadala wa kitaifa je mjumuiko huu una mantiki?, kwanini tusiwe na Muungano tu, yaani nchi moja tu TANZANIA pasipo vikolombwezo vingine na mikoa sita ya Zanzibar ikawa kwenye idadi ya mikoa mingine Tanganyika ili baadae tusibaguane tena.

ama vipi basi tukubaliane kutokukubaliana, kila mtu awe kivyake ingawa ni mawazo ya kurudi nyuma hayo, ulimwengu mzima watu wanaungana wanaowaza kujitenga sijui tuwaweke fungu gani..

kwa sasa tunajadili Katiba , ila hata hatujui ni katiba ya nini.. imagine kama serikali tatu, so rais wa Tanganyika atoke chama A, wa Zanzibar Chama B, wa muungano Chama C. du total confussion, halafu nasikia Yule wa Muungano ndiye awe Amiri Jeshi mkuu.. hii kitu ya Ajabu kabisa..

ninachojua huo ni muungano wa nyerere na karume. mimi mbona sikushirikishwa? hebu uliza jirani yako kama alishirishwa. Au hata wazazi wako. Nadhani Tobo lisu yupo sahihi kabisa kwa hili. huo ni muungano wa watu 2. binafsi naihitaji Tanganyika yangu hata kama kutakuwa na hiyo tanzania.
 
Ndo maana nawapenda sana wanasayansi!
They always call a spade by its name!
Ninafikiri tunahitaji wanasayansi kuongoza nchi na si wanasiasa maana wanachokitafuta hakijulikani,ni uongo kwenda mbele!

Ni miaka mitano sasa wanaongelea flyovers za Tazara tu,lkn kama ni wanasayansi wangeshatupa facts kitambo!
 
Kwan unazifaham aina ngapi za muungano!! Kama hufaham ni bora uulize kuliko kuwa mvivu wa kufikiri
 
Narudia Tena kusema hatuja wahi kuwa na Muungano..

Kuna watu akili zao hazitaki kufikiri, wamekuwa mizigo na sidhani kama Taifa hili kwa sasa tunahitaji sampuli za watu kama hawa ambao bado wanatulazimisha tushikilie mawazo yetu na yao kwamba Tumewahi kuwa na Muungano ati wa nchi iliyoitwa Tanganyika ikaungana na nchi nyingine inayoitwa Zanzibar ati Tukapata nchi Moja Tanzania. Ni kauli za Kizandiki, Uongo uliokithiri na Uchafuzi wa jamii ya Watanzania inayoanza kustarabika.

Hesabu rahisi kabisa inaweza kutumika kutupa Ukweli huu

Tuseme Zanzibar ni Nchi yenye Mamlaka na Dola lake in all aspects let it be set A
Then Tanganyika nayo pia ina mamlaka yake ya kiinchi kama dola linalo jitegemea be set B

seti hizi mbili A and B zinaungana, which mean wote wawili wanaungana kuwa SETI MOJA..
View attachment 136949.........View attachment 136950
OPERATION ya Union Set inakuwa true pale ambapo si rahisi tena Mtu kuchambua element zilizokuwa kwenye set A na zile zilizokuwa kwenye set B.

Kama Tanganyika Iliungana na Zanzibar hiyo miaka ya hamsini-kweusi, iweje basi ati awepo raisi wa huku na kule, serikali ya huku na Kule, bunge la huku na kule huu si Muungano, ni kudhalilisha Hisabati pamoja na Watanzania kwa Ujumla wetu.

ndio maana kila unapogusia topic ya Muungano Vichwa vya watu vinauma kwa sababu ni kitu kisicho eleweka bayana..

naomba serikali hii 'sikivu' itupatie jina halisi ya hiki tulicho nacho to me ni mjumuiko wa nchi na si Muungano. kuna vitu tunajumuika pamoja mengine kivyake vyake . now if that is tufute neno Muungano kwanza tutafute neno linalo stahili.

kisha ndipo tufanye mjadala wa kitaifa je mjumuiko huu una mantiki?, kwanini tusiwe na Muungano tu, yaani nchi moja tu TANZANIA pasipo vikolombwezo vingine na mikoa sita ya Zanzibar ikawa kwenye idadi ya mikoa mingine Tanganyika ili baadae tusibaguane tena.

ama vipi basi tukubaliane kutokukubaliana, kila mtu awe kivyake ingawa ni mawazo ya kurudi nyuma hayo, ulimwengu mzima watu wanaungana wanaowaza kujitenga sijui tuwaweke fungu gani..

kwa sasa tunajadili Katiba , ila hata hatujui ni katiba ya nini.. imagine kama serikali tatu, so rais wa Tanganyika atoke chama A, wa Zanzibar Chama B, wa muungano Chama C. du total confussion, halafu nasikia Yule wa Muungano ndiye awe Amiri Jeshi mkuu.. hii kitu ya Ajabu kabisa..

Mkuu Eng. Y. Bihagaze, usidhalilishe hiyo title yako kuubwa ikaonekana nayo ni just a pen name, muungano wetu ni muungano wa mfano wa ndoa ya Kikatoliki, una mwanzo tuu hauna mwisho mpaka Mungu atakapoamua kututenganisha!. Huu ni muungano wa simple mathematics za kihesabu darasa la kwanza kabisa wa 1+1=2!, injinia mzima wewe unashindwa kuelewa nini?.

Kama zilivyo ndoa zote zina ups and downs, hivyo muungano wetu huu adhimu nao unazo ups and downs zake zinazopelekea manunguniko yasiyoisha toka kwa mwanandoa mmoja kiasi cha kugeuka ghubu!. Utatuzi wake ni ule ule utatuzi kama wa matatizo ya ndoa, talaka haijawahi kuwa suluhisho la kudumu la ndoa yenye matatizo!.

As a matter of fact, Muungano wetu huu adhimu hauna matatizo yoyote serious bali unakabiliwa na changamoto kadhaa ndogondogo tuu ambazo zinazungumzika na kutatulika ukiwaondoa vitimbakwiri fulani mahasidi wa Muungano wetu huu adhimu, ulioletwa na yale Mapinduzi, matukufu ya Zanzibar ya mwaka 1964.

Muungano wetu huu Adhimu tutaulinda kwa gharama yoyote na utadumu daima dumu!.
Mapinduzi Daima !.
Mungu Ibariki Tanzania
Pasco
 
mi sioni logic ya huu muungano kabsa tena kabisa, kwa usanii wake Nyerere aliua nchi ambayo hata wajerumani na waingereza waliieshimu, Tanganyika
 
Mkuu Eng.Bihagaze, usidhalilishe hiyo title yako kuubwa ikaonekana nayo ni just a pen name, muungano wetu ni muungano wa mfano wa ndoa ya Kikatoliki, una mwanzo tuu hauna mwisho mpaka Mungu atakapoamua kututenganisha!. Huu ni muungano wa simple mathematics za kihesabu darasa la kwanza kabisa wa 1+1=2!, injinia mzima wewe unashindwa kuelewa nini?.

Kama zilivyo ndoa zote zina ups and downs, hivyo muungano wetu huu adhimu nao unazo ups and downs zake zinazopelekea manunguniko yasiyoisha toka kwa mwanandoa mmoja kiasi cha kugeuka ghubu!. Utatuzi wake ni ule ule utatuzi kama wa matatizo ya ndoa, talaka haijawahi kuwa suluhisho la kudumu la ndoa yenye matatizo!.

As a matter of fact, Muungano wetu huu adhimu hauna matatizo yoyote serious bali unakabiliwa na changamoto kadhaa ndogondogo tuu ambazo zinazungumzika na kutatulika ukiwaondoa vitimbakwiri fulani mahasidi wa Muungano wetu huu adhimu, ulioletwa na yale Mapinduzi, matukufu ya Zanzibar ya mwaka 1964.

Muungano wetu huu Adhimu utadumu daima dumu!.
Mapinduzi Daima !.
Pasco
Halafu Kichwa Kama hiki, Mtu anampa uongozi katika nchi unatarajia Nini..! Rais huwa anafanya makosa mengi hasa kuteua mawaziri, nawaza wale anaowalenga kuwateua angekuwa anawapa kijihomework flan Cha kuandika kupima Uwezo Wao wa kufikiri course wanachokwenda Tenda hasa maofisini Ni maamuzi, makatibu Wakuu Ni engine Za wazara Na watendaji Wakuu lakini mawaziri Ni waamuzi..

So kuwa Na watu Mfano wa Pasco unategemea Nini Kwenye taasisi, Mtu anayesema zao la Wingi 1+1 = 2 anaita muungano.. !!
 
Kwan unazifaham aina ngapi za muungano!! Kama hufaham ni bora uulize kuliko kuwa mvivu wa kufikiri

We Nawe sijui umekaririshwa Nini, sio yote unayo soma unalazimika kuyaamini hata Kama hayako Sawa. Elimu Ni akili Za watu, embu fikiria Yule aliyeandika kitabu Cha "How to Grow Rich" mwenyewe kafa 77 akiwa maskini.. Si mawazo yote yako sahihi, tumia ufahamu wako kunasibisha uhalisia wa ukweli wa Jambo
 
Halafu Kichwa Kama hiki, Mtu anampa uongozi katika nchi unatarajia Nini..! Rais huwa anafanya makosa mengi hasa kuteua mawaziri, nawaza wale anaowalenga kuwateua angekuwa anawapa kijihomework flan Cha kuandika kupima Uwezo Wao wa kufikiri course wanachokwenda Tenda hasa maofisini Ni maamuzi, makatibu Wakuu Ni engine Za wazara Na watendaji Wakuu lakini mawaziri Ni waamuzi..

So kuwa Na watu Mfano wa Pasco unategemea Nini Kwenye taasisi, Mtu anayesema zao la Wingi 1+1 = 2 anaita muungano.. !!

Injinia, pole sana!. Kwa bahati nzuri elimu yangu ni ile ya ngumbaro , naomba unisaidie hii hesabu, ya moja na moja?!.
Pasco.
 
9.

Pasco kuwaambia watu moja Na moja Ni Mbili so that is Union Ni Uhuni tu .. Hesabu Yake iko hivi Kwenye set

If all number of set A be 1, and all number of set B be 1 we then derive
n(A) U n(B) = 2

Hili Ni zao la wingi Kwamba if set A is Zanzibar then n(A) is the population therein, likewise for Tanganyika set B will bear n(B) as the Popularion .. Therefore

n(A) U n(B) this shows the total Popularion density within the Two Union States. This had nothing to do as far the Union phenomenon we are talking about is concern.
 
Mkuu Injinia, naona unazidi tuu kunipoteza na kunichanganya haswa ukizingatia nimekueleza tangu mwanzo kisomo changu ni cha ngumbaru, ila najua hesabu ya moja kujumlisha moja jibu ni mbili na ni hesabu za darasa la kwanza!.

Zanzibar ilikuwa moja, na Tanganyika moja, zikajumlishwa tukapata mbili!, hebu msaidie mwanangu wa darasa la kwanza kumuelewesha hiyo hesabu ya moja na moja labda nitakuelewa!.

NB, Nakuomba utumie lugha yetu adhimu ya Kiswahili, usikute kushindwa kwangu kuelewa ni lugha lugha tuu!.

Pasco..
Kuna Kabila flan hapa Tz naskia Ni mabingwa wa Ubishi, hawana hoja, ni wabishi tu, ukikaanao barazani utachefuka tu, watakwambia Mlima Kilimanjaro Uko Mtwara, na wakabisha hao hata uwaletee ramani Mia Wao watabisha tu..

Ukweli wanaufaham but watabisha kukuchokonoa tu ila maneno Yenye Hekima yanasema Hata umtwange -------- na upumbavu wake hauta koma..

Elewa tu Kwamba Tungekuwa Na Muungano kusinge Kuwa na NENO Zanzibar mbona NENO Tanganyika lilishafutika? Zanzibar ibakie mikoa tu twende Kazi..
 
Nilidhani wewe ni injinia, umahiri wa injinia ni kwenye mahesabu, kama moja kujumlisha moja imesumbua hivi, nimejiridhisha, kumbe ni jina tuu.
Kama kusema 1+1=2 ndio ubishi, then mimi ni mbishi mpaka siku ya mwisho!.
Asante na tuendelee na mengine!.
Pasco
 
ninachojua huo ni muungano wa nyerere na karume. mimi mbona sikushirikishwa? hebu uliza jirani yako kama alishirishwa. Au hata wazazi wako. Nadhani Tobo lisu yupo sahihi kabisa kwa hili. huo ni muungano wa watu 2. binafsi naihitaji Tanganyika yangu hata kama kutakuwa na hiyo tanzania.

Hahahahahahah,umenichekesha sana abunuas,eti tobo lisu,ahahahhah!
 
Pasco na injinia wako mnachekesha; semeni (kwa hoja) wazi mnachotaka tuchangie. Hayo mafumbo wafumbieni wajinga.
 
huyu Ndugu Pasco ana Kitu amekitafunia tumboni na nadhani kwa Muda amekuwa akikiabudu kama ndio tafsiri ya muungano
alianza hivi
Mkuu Eng.Bihagaze, usidhalilishe hiyo title yako kuubwa ikaonekana nayo ni just a pen name, muungano wetu ni muungano wa mfano wa ndoa ya Kikatoliki, una mwanzo tuu hauna mwisho mpaka Mungu atakapoamua kututenganisha!. Huu ni muungano wa simple mathematics za kihesabu darasa la kwanza kabisa wa 1+1=2!, injinia mzima wewe unashindwa kuelewa nini?.

Kama zilivyo ndoa zote zina ups and downs, hivyo muungano wetu huu adhimu nao unazo ups and downs zake zinazopelekea manunguniko yasiyoisha toka kwa mwanandoa mmoja kiasi cha kugeuka ghubu!. Utatuzi wake ni ule ule utatuzi kama wa matatizo ya ndoa, talaka haijawahi kuwa suluhisho la kudumu la ndoa yenye matatizo!.

As a matter of fact, Muungano wetu huu adhimu hauna matatizo yoyote serious bali unakabiliwa na changamoto kadhaa ndogondogo tuu ambazo zinazungumzika na kutatulika ukiwaondoa vitimbakwiri fulani mahasidi wa Muungano wetu huu adhimu, ulioletwa na yale Mapinduzi, matukufu ya Zanzibar ya mwaka 1964.

Muungano wetu huu Adhimu utadumu daima dumu!.
Mapinduzi Daima !.
Pasco
nikamjibu kwa usahihi namna hii
Pasco kuwaambia watu moja Na moja Ni Mbili so that is Union Ni Uhuni tu .. Hesabu Yake iko hivi Kwenye set

If all number of set A be 1, and all number of set B be 1 we then derive
n(A) U n(B) = 2

Hili Ni zao la wingi Kwamba if set A is Zanzibar then n(A) is the population therein, likewise for Tanganyika set B will bear n(B) as the Popularion .. Therefore

n(A) U n(B) this shows the total Popularion density within the Two Union States. This had nothing to do as far the Union phenomenon we are talking about is concern.
Then embu ona ALIVYOJIBU..
Mkuu Injinia, naona unazidi tuu kunipoteza na kunichanganya haswa ukizingatia nimekueleza tangu mwanzo kisomo changu ni cha ngumbaru, ila najua hesabu ya moja kujumlisha moja jibu ni mbili na ni hesabu za darasa la kwanza!.

Zanzibar ilikuwa moja, na Tanganyika moja, zikajumlishwa tukapata mbili!, hebu msaidie mwanangu wa darasa la kwanza kumuelewesha hiyo hesabu ya moja na moja labda nitakuelewa!.

NB, Nakuomba utumie lugha yetu adhimu ya Kiswahili, usikute kushindwa kwangu kuelewa ni lugha lugha tuu!.
Pasco.
HUYU WEWE uTAMWITAJE..
 
Pasco na injinia wako mnachekesha; semeni (kwa hoja) wazi mnachotaka tuchangie. Hayo mafumbo wafumbieni wajinga.
, Mkuu WeweBaba, kuna mijitu imekuja humu jf na mititle mikuubwa, kuonyeshea wao ni nshomile!, halafu kijihesabu kidogo tuu cha darasa la kwanza kinawatoa kamasi!.

Nimeeleza kisomo changu ni kile cha ngumbaru, nikaomba nieleweshwe kwa lugha yetu adhimu hiyo hesabu ya mainjinia, ili na mimi nielewe hilo jawabu jingine la moja kujumlisha moja, zaidi ya ile 2 tuliofundishwa na kudumu nayo kwa miaka 50 sasa!.

Pasco.
 
Leo Tarehe 26 April, 2020 ni sikukuu ya Muungano, sikukuu hii ndio sikukuu muhimu kuliko hata uhuru kwasababu hii ni siku JMT ilipozaliwa. Lakini kutokana na janga hili la Corona, siku hii inaadhimishwa kimya kimya.
Naawatakia Muungano mwema huku nikisisitiza
Nautakia huu muungano wetu adhimu udumu milele na hivyo kukitokea yoyote anayetaka kuuchokoa muungano, namshauri chokochoko amchokoe pweza, muungano hutauweza kwasababu tutaulinda kwa gharama yoyote.
Nawatakia muungano mwema.
P
 
Back
Top Bottom