‘Hatufukuzi mgombea urais CCM’

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
Katibu mkuu wa CCM taifa Abdrahman Kinana ametoa tamko kufuatia kikao cha kamati kuu kilichofanyika Kisiwa ndui Zanzibar kuwa hakuna mgombea aliyetangaza nia atakayefukuzwa au kuvuliwa uanachama.
==============================


CHANZO: Mwananchi
 
Angemgusa Lowassa angejistukia na yeye yupo Mogadishu na Familia yake aliyoiacha huko
 
yaani CCM inafanya kazi kama wachawi au waganga wa kienyeji aiseee.yaani hapo wanaona raha kweli ..mwenyekiti naye ndio bingwa wa kukenua
 
Yapo jamaa fulani machizi yalitokwa povu kupotosha watu kubenea,kibanda na yericko sijui kawalonga nani kutwa kucha wanatunga uongo.
 
Yapo jamaa fulani machizi yalitokwa povu kupotosha watu kubenea,kibanda na yericko sijui kawalonga nani kutwa kucha wanatunga uongo.

Inawezekana ni kweli walidhamiria kuwavua uanachama wale waliokubuhu kutoa rushwa, waliopoingia kamati kuu wakaamuriwa kwamba yule alie mtakatifu na awe wa kwanza kurusha jiwe!
 
ila EDO hatoi rushwa ile ni takrima tu
 
Mawazo yako sijui yanatofauti gani na hawa.
View attachment 218457

Hayana tofauti nao. Hata kama umewawekea uhalisia ambo sio wao. Nawaza kama wao jinsi wanavyo waza kuhusu mkakati wa kuhakikisha kuanzia Feb au March 2016 jinsi ambavyo itaanzishwa mahakama maalumu ya kushughulikia waliohujumu uchumi kwa kipindi cha 1995-2015 na fedha zitengwe ili kesi hizo zisizidi miezi 6.
 
Jamani,hivi Nape yupo?simsikii kama hapo awali alipokuwa anajifaragua kuhusu kuvuliwa gamba kwa mzee naniiiii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…